Lakini wakuu hivi wazee wetu kesi kama hizi walikuwa wanazisolve vipi?
manake nimekuwa nikiambiwa 'unamwona fulani, baba yake bi fulani na sio baba yake unayemjua'.....ina maana haya mambo yapo tokea zamani...
sasa hapa tujaribu kama kuna wanaozifahamu hizo namna za kutanzua migogoro hii kijadi zaidi? Mi kwa kesi ninazojua, mtoto aliendelea kutambulika kuwa ni wa nyumba ile alipozaliwa....
Ila jamani tuende mbele na kurudi nyuma watu tumekua wakali kweli kweli, ila tujiulize ni hao tu ndio wazinzi? tukishapata majibu tujifunze kutokana na hili
Mi hapa nalia kwa huyu mama kwanza
Huyu mama alitongozwa na mme wa mtu huku yeye akitambua kuwa ni mke wa mtu.
Akakubali kuvua nguo na kugalagazwa na mme wa mtu
Haitoshi akaamua kumpa yote jamaa akazamisha akaachia vitu kiumbe kimetoka.
Mi ndio mbavu yangu moja sidhani kama iko salama lol. Ni kweli kabisa watabaki hawa wezi ambao 40 imefika
Mi hapa nalia kwa huyu mama kwanza
Huyu mama alitongozwa na mme wa mtu huku yeye akitambua kuwa ni mke wa mtu.
Akakubali kuvua nguo na kugalagazwa na mme wa mtu
Haitoshi akaamua kumpa yote jamaa akazamisha akaachia vitu kiumbe kimetoka.
...eti walikuwa wanalipishwa faini,...mtu analipishwa mifugo au mazao kesi inakwisha.
Ujinga mtupu! Anyway,...wazee wa kale walikuwa na wake wengi bana. Hawakuona tabu.
Mwanamke alikuwa mzazi tu wa watoto, sio miaka hii unajitolea kuoa na kumpenda mke mmoja,
halafu nae anakuletea za kuleta.
Siku zote mwenye uamuzi wa mwisho katika kumegana kwa hiari huwa ni mwanamke...
Ila jamani tuende mbele na kurudi nyuma watu tumekua wakali kweli kweli, ila tujiulize ni hao tu ndio wazinzi? tukishapata majibu tujifunze kutokana na hili
Ila jamani tuende mbele na kurudi nyuma watu tumekua wakali kweli kweli, ila tujiulize ni hao tu ndio wazinzi? tukishapata majibu tujifunze kutokana na hili
...eti walikuwa wanalipishwa faini,...mtu analipishwa mifugo au mazao kesi inakwisha.
Ujinga mtupu! Anyway,...wazee wa kale walikuwa na wake wengi bana. Hawakuona tabu.
Mwanamke alikuwa mzazi tu wa watoto, sio miaka hii unajitolea kuoa na kumpenda mke mmoja,
halafu nae anakuletea za kuleta.
Got a similar case somewhere...unattended.
...mnh, nawe sasa unataka tuku report kwa Mods unaharibu topik. Hakuna mzinzi humu :A S 114:
hawa jamaa;
...Hii haikubaliki hata kwenye 'katiba' ya wazinzi (kama wamo humu.)
- wamezini, mume hajui
- wamezaa, mume hajui
- familia ya mke wanajua ukweli
- jamaa anadai mtoto wa 'mwenzake!'
- mke hataki mumewe ajue
Hapo kuna umuhimu wa kuwa na wake wengi?
Kuna kesi inaendelea mahakamani inafanana na kisa hiki." MWIZI" ANASHTAKI AWE NA HAKI NA MTOTO ATAKAYEZALIWA MAANA HAPO NI MIMBA TU HAJAZALIWA MTOTO! Mume na mke wanapinga vikali!
Usiombe uone visa kama hivi. Wakitoka mahakamani, mwizi anenda kivyake, mume na mke wanaenda nyumbani.Hiko nyumbani kunawaka moto!
Stay tuned.
Kwenye hili, ingekuwa ni mimi, ningedai talaka upesi sana maana mume akijua ni mauaji au masimango yasiyosemekana.
Hii kesi inanikumbusha nilienda kijiji fulani kutafuta msichana wa kusaidia kazi, nikapewa africasti wa kizungu, kuuliza kulikoni mama akanipa story eti alikuwa analima shambani, akapita mzungu akasimama kujisaidia haja ndogo alipomuona akamwomba walale wote akampa zawadi na alf ishirini hivi. baada ya muda akajikuta mjamzito wala hakuwa na wasiwasi alijua ni ya mumewe tu.Siku zote mwenye uamuzi wa mwisho katika kumegana kwa hiari huwa ni mwanamke...
Threesome ... King Mswati and 12th wife Nothando (left) and her alleged lover Minister Mamba
...Labda aisee, si unaona hata Mswati alisaidiwa na besti wake, tena waziri wa Sheria?
Jamaa kamtimua kazi, kisha akamuweka kizuizini Mkewe (labda asiendelee kuchakachuliwa!)
Mswati ana wake 12 aisee, Ukiwa na wake wengi hata wivu unapungua!