Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Hehehe Mbu kwanza mi ntapenda huyo mtu aniambie kama hayo majaribu alipewa au alilazimishiwa?Akisema alipewa ntamuuliza kwanini alikubali kupokea maana ilikua hiari yake.Nikimaliza namwambia aende tu maana mi nakataa kujaribiwa kwahiyo msamaha akatafute kwangine.