Msaada kwa mkaka


Akija aliyeolewa na akakudanganya hajaoa, and then akadaka kitu utafanyaje???
Utajiua au?
 
 
Mmh naona huyo kaka mwizi hamtakii mema huyo dada mwizi
kama kweli anamtaka huyo mtoto awe tayari kumchukua na mama yake pindi mambo yatakapoharibika (kumuoa) maana wote wamefanya makosa.
 

...Maisha Maty, maisha!...
Kuna wakwe ambao ikishapita mwaka Mke hajabeba mimba, maswali yanaanza.
Kama Mke ana roho ndogo "kitawaka" tu...

Mfano ile kesi aliyotuletea Shantel; https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/121365-kijana-kapagawa-kwa-mke-wa-mtu.html .Haya mambo yanachangiwa na mengi. Tunaweza mlaumu mdada, kumbe Mume amechangia kwa kiwango kikubwa "kusaidiwa!"
 
mimi nashauri wanyamaze kimya kabisa sio jambo zuri hilo,
mume wa huyo dada akijua maafa yanaweza kutokea.
naomba kuwasilisha
 
kuna uhakika gani kama mtoto ni wa kaka mwizi(kama unavyomuita)?? kama hajapimwa DNA kuna uwezekano pia mtoto akawa ni wa mume wa dada mwizi(kama unavyomuita) kwa sababu inawezekana huyo dada siku aliotoka kukutana kimwili na kaka mwizi pia siku hiyo hiyo tena akukutana na mme wake

My take: wakapime kwanza wajue ni mtoto wa nani? in case ikitokea kweli ni mtoto wa kaka mwizi baba mme halali wa huyo dada mwizi apewe uamuzi wa mwisho wa huyo mtoto kama atapendakuendelea kumlea kidini anaruhusiwa kwa sababu ni wake ila kama atpenda kumrusu kaka mwizi kumchukua pia ni kheri tu

mwisho: sasa itakuwaje mume wa dada ane aruhusu mtoto aliezaliwa ndani ya ndoa aletewe pesa ya matumizi na vifaa vingine kutoka kwa mtu usiemfahamu?? nae amelala sana duh
 
hii habari ni kama ya jirani yangu kabisa mtaani aisee
na mdada kaitwa kwao wana kesi na ukweni walahi
uwa nikiangalia hii nyumba sielewi kbs aya maisha ya ndoa
ngoja nicheki apa suluhisho
 
hii habari ni kama ya jirani yangu kabisa mtaani aisee
na mdada kaitwa kwao wana kesi na ukweni walahi
uwa nikiangalia hii nyumba sielewi kbs aya maisha ya ndoa
ngoja nicheki apa suluhisho

...eehh, Mapya. Huyo mume wa jirani yako aliipokeaje/aliichukuliaje?
I hope hapakutokea kishindo cha mateke na magumi.
 
Sindo nyie wanaume hua hamchoki kuimba ule wimbo wa "Damu yangu haiwezi kupotea"???Ndicho mwenzenu anachofanya!

Na kwa vile ni mtoto wa kiume kisa kwa mkewe wote majike ndio maana Mungu anamwuumbua mchana kweupe
 
Nimerudi DNA test walifanya kwa siri na mtoto ni wa mkaka kabisa .
 

Asprin
bahati mbaya unamatamani, bahati mbaya unamtongoza, bahati mbaya unachomeka libiolojia lako kwenye donati duuuuu
 

Eniwei, Aspril hii thread isikupe wasiwasi kama Matesha ni mwaminifu na wewe unamjua kiundani mwenzio..wala usipime DNA za watoto ni wako!!
La kama mwanaume mwingine ataparamia ulichogharamia, maliza kabisa mpaka kinondoni cemetery mana mochwari hapatoshi...na wewe angalia tu uparamie vya watu, utakatwa mapanga!!..Hivyo usipate mwanya wa kucheat kwa kujiona umewin, mjini watakuaibisha ha ha
 
Amepimia wapi wakati umeme ulikuwa umekatika na vyombo vilikuwa vibovu?

Huyo mwanamke na mwanaume wanastahili wafungwe jiwe na kutoswa baharini hawafai kabisa katika jamii.

Yaani kaiba ugali ameamua kuiba na vyomba kabisa hawafai
 
Watu wengine wanatia kichefuchefu maana huu ni ujinga wa hali ya juu, lakini haya mambo ya kutoka nje haya sijui nani alileta mie naudhika kweli kama umeshindwa kuwa makini basi yaani mpaka mtoto kweli watu wengine akili zao hazina akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…