Amepimia wapi wakati umeme ulikuwa umekatika na vyombo vilikuwa vibovu?
kwa mtu kama mie ambae nilishamweleza kwamba ctakaa nipokee mtoto chini ya umri wa mwanangu mdogo bac hapo tayari imeshavurugika wala hakunaga mjadala, nani anataka kuuliwa hivi hivi ashindwe kuona maendeleo ya wanae?..kudhalilishana tu mtu mzima kushindwa hata kutumia condom ya shs mia...
leo una jazba sana
...Pheeewwww! BelindaJacob hizo "mwizi" zilivyoongozana, lol!
kila mtu ana haki ya kusikilizwa bana.
"Innocent Until Proven Guilty in the court of Law!" ....Chetuntu kaenda kutuchukulia majibu ya DNA itatujibia hili.
Kesi hizi, mara unakuta watoto wote si wa huyo Mume,...bunduki yake haina risasi.
mama aliamua kumsaidia mume kufichia aibu/kuondoa kero za mawifi!...:A S embarassed:
...ha ha, eti nyanya za nyongeza. Kama nakuona mwenyewe na kisadolini chako! LOL
Huyo mwanamke na mwanaume wanastahili wafungwe jiwe na kutoswa baharini hawafai kabisa katika jamii.
Yaani kaiba ugali ameamua kuiba na vyomba kabisa hawafai
Mwaga mboga mimi namwaga ugali
Nimerudi DNA test walifanya kwa siri na mtoto ni wa mkaka kabisa .leo una jazba sana
Asiye na kosa na awe wakwanza kumpiga mawe
then tulale njaa jamani Fidel80
Asiye na kosa na awe wakwanza kumpiga mawe
Ndo maanake
Ningekuwa ndo mm hapo baba wa kamba nitafanya juu chini na mm nilipize kisasi hata kwa kizizi lazima na mm nimtie mimba mke wake.
Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..
Nawasilisha.
Ndo maanake
Ningekuwa ndo mm hapo baba wa kamba nitafanya juu chini na mm nilipize kisasi hata kwa kizizi lazima na mm nimtie mimba mke wake.
Mwambie warudi nyuma wakaUNDO madudu yao...wote wawili!
Na kwa vile ni mtoto wa kiume kisa kwa mkewe wote majike
dada anaogopa kuharibu ndoa anataka iendelee kuwa siri.
Nakwambia...mi kuna ndugu yangu alienda kuzaa nje ili apate wa kiume akaambulia wa kike tena.Matokea yake ni kulikoroga nyumbani na bado alichotaka hakupata.Alafu hua nashangaa wanaoenda nje ili kupata mtoto wa jinsia fulani..hivi hua hawajui kwamba miili yao ndo inayoamua?Maana utasikia mtu anamwambia mkewe laivu 'we unazaa majike tu' bila kujua kwamba muamuzi ni mbegu za mwanaume.