Msaada kwa mkaka

Msaada kwa mkaka

kwa mtu kama mie ambae nilishamweleza kwamba ctakaa nipokee mtoto chini ya umri wa mwanangu mdogo bac hapo tayari imeshavurugika wala hakunaga mjadala, nani anataka kuuliwa hivi hivi ashindwe kuona maendeleo ya wanae?..kudhalilishana tu mtu mzima kushindwa hata kutumia condom ya shs mia...

Nakupa 5 kwa msimamo wako na hakika hubby lazima awe makini hata kama anacheat anafahamu wazi msimamo ataishia kupunguza protini kwa uangalifu ..mana kuna wengine unajiachia na kusema no problem mtoto akiletwa nyumbani kumlea shida na hamna mapenzi kamili mwishoe unakaa na dukuduku..
 
Ndoa ndoano!!!!
Mi nimechoka,
Naombeni tu, niwe msomaji.
Manake.......................
 
...Pheeewwww! BelindaJacob hizo "mwizi" zilivyoongozana, lol!
kila mtu ana haki ya kusikilizwa bana.
"Innocent Until Proven Guilty in the court of Law!" ....Chetuntu kaenda kutuchukulia majibu ya DNA itatujibia hili.
Kesi hizi, mara unakuta watoto wote si wa huyo Mume,...bunduki yake haina risasi.
mama aliamua kumsaidia mume kufichia aibu/kuondoa kero za mawifi!...:A S embarassed:

...ha ha, eti nyanya za nyongeza. Kama nakuona mwenyewe na kisadolini chako! LOL

kubalance the equation, wote ni wezi🙂)ha ha
La, mtu atoke nje ya ndoa na akuzalie kweli hii ni halali??!! pia huyo mtoto athari zake kimalezi zitakuwaje? kweli watu wengine wanafikiriaga urefu wa kilele tu!!!
Chetuntu kashaleta DNA results, kaka mwizi ndie aliyerutubisha yai!..upo hapo Mbu?!
 
Huyo mwanamke na mwanaume wanastahili wafungwe jiwe na kutoswa baharini hawafai kabisa katika jamii.

Yaani kaiba ugali ameamua kuiba na vyomba kabisa hawafai

Asiye na kosa na awe wakwanza kumpiga mawe
 
Nimerudi DNA test walifanya kwa siri na mtoto ni wa mkaka kabisa .
leo una jazba sana

...pheeeeww!,...nimejaribu sana kujifariji lakini inaonekana huyo Mwanaume wa nje kaamua liwalo na liwe!
No wonder ndugu yangu Aspirin amei privatize kabisa hii topic!
Nimemchukia sana huyo njemba, wanawake jifunzeni bana...

Jamaa wanaonja onja kwa ahadi kibao, likibumbuluka wanaleta makasheshe.
Ona sasa? Mwanaume keshaweka sawa ndoa yake, anang'ang'ania kuvunja ya mwenzake.

Chetuntu, hebu muulize huyu besti wako hao watoto wa kike (-kwa mkewe) ni wake? akaangalie DNA,....MBFF MKUBWA!
Natamani mkewe naye amwambie kazaa na huyu baba 'aliyesingiziwa' mtoto wa kiume, aone uchungu wake!
 
Ndo maanake

Ningekuwa ndo mm hapo baba wa kamba nitafanya juu chini na mm nilipize kisasi hata kwa kizizi lazima na mm nimtie mimba mke wake.

Fidel, hicho kisasi kimetulia sana tena kama mtu unapenda kulipizia..halafu ngoma inakuwa droo:🙂)
 
Asaidiweje? Ushauri au jinsi ya kusema?

Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..

Nawasilisha.
 
Ndo maanake

Ningekuwa ndo mm hapo baba wa kamba nitafanya juu chini na mm nilipize kisasi hata kwa kizizi lazima na mm nimtie mimba mke wake.

...kaka chukua tano, hapo hata mimi ningekusaidia kushikilia mguu!
 
Na kwa vile ni mtoto wa kiume kisa kwa mkewe wote majike

Nakwambia...mi kuna ndugu yangu alienda kuzaa nje ili apate wa kiume akaambulia wa kike tena.Matokea yake ni kulikoroga nyumbani na bado alichotaka hakupata.Alafu hua nashangaa wanaoenda nje ili kupata mtoto wa jinsia fulani..hivi hua hawajui kwamba miili yao ndo inayoamua?Maana utasikia mtu anamwambia mkewe laivu 'we unazaa majike tu' bila kujua kwamba muamuzi ni mbegu za mwanaume.
 
mijanamke mingine bwanaa, kulikuwa na sababu la kuliambia jizi kuwa nina mimba ako? linataka talaka tu, na lipewe.
 
dada anaogopa kuharibu ndoa anataka iendelee kuwa siri.

Leo hii ndio anakumbuka ndoa?Mwambie ilishaharibika tangu siku ya kwanza anaingia line kumsaliti mmewe!Aseme tu hataki kujulikana kama kituko kwa watu...zaidi ya hapo choo kimeshakua choo hakiwezi kugeuzwa jiko!
 
Nakwambia...mi kuna ndugu yangu alienda kuzaa nje ili apate wa kiume akaambulia wa kike tena.Matokea yake ni kulikoroga nyumbani na bado alichotaka hakupata.Alafu hua nashangaa wanaoenda nje ili kupata mtoto wa jinsia fulani..hivi hua hawajui kwamba miili yao ndo inayoamua?Maana utasikia mtu anamwambia mkewe laivu 'we unazaa majike tu' bila kujua kwamba muamuzi ni mbegu za mwanaume.

HIO mijitu haijaenda shule, yanafikiri mwanamke ndo wa kuleta mijike tu, kumbe haraka zao za kudo bila mpangilio, LOL jina la bwana libarikiwe.
 
Back
Top Bottom