Hii kesi inanikumbusha nilienda kijiji fulani kutafuta msichana wa kusaidia kazi, nikapewa africasti wa kizungu, kuuliza kulikoni mama akanipa story eti alikuwa analima shambani, akapita mzungu akasimama kujisaidia haja ndogo alipomuona akamwomba walale wote akampa zawadi na alf ishirini hivi. baada ya muda akajikuta mjamzito wala hakuwa na wasiwasi alijua ni ya mumewe tu.
Kuzaliwa akazaliwa huyo mzungu kasheshe likaibuka, unajua yule mama liambiwa atoe fine ya ng'ombe akasamehewa na familia ikaendelea kwa hiyo mtoto kamaliza la saba anatafutiwa kazi kama kawaida.sikumchukua mwenzangu
Huyu dada alikosea kitu kimoja tu, kumwambia yule jamaa< hivi angekaa kimya ingemcost nini? au ndio kujifanya anampenda sana, na kwa taarifa yake mtoto baba wa nyumbani akimkatalia huyo bwana ake hataweza kumchukua, sanasana atachargiwa kesi ya kuingilia ndoa ya watu, au amesahau kwamba kitanda hakizai haramu? Huyo mwanaume nae ambae ana mke anang'ang'ania mtoto ni Mwehu kabisa, ajiweke yeye mtu aje amdai mtoto kama atahimili, hata kama anajua ni wake angenyamaza tu.