Msaada kwa mkaka

Msaada kwa mkaka

Kwenye hili, ingekuwa ni mimi, ningedai talaka upesi sana maana mume akijua ni mauaji au masimango yasiyosemekana.

Mauaji hapana....lakini masimango yasiyosemeka ni warranted!! Na ni bora kutalikiana kabisa maana maisha yenu pamoja hayatakuwa kama yalivyokuwa kabla ya....you will never hear the end of it...
 
Kuna kesi inaendelea mahakamani inafanana na kisa hiki." MWIZI" ANASHTAKI AWE NA HAKI NA MTOTO ATAKAYEZALIWA MAANA HAPO NI MIMBA TU HAJAZALIWA MTOTO! Mume na mke wanapinga vikali!

Usiombe uone visa kama hivi. Wakitoka mahakamani, mwizi anenda kivyake, mume na mke wanaenda nyumbani.Huko nyumbani kunawaka moto!

Kesi nyingine, mume alisafiri aliporudi akakuta mkewe yuko maternity leave na anayemlea ni mama mkwe - mama wa mwanaume ( mume)! Aliyemzalisha ni mdogo mtu! Mume alichokifanya ni kumchukua mkewe wakaondoka wakaenda kuishi sehemu nyingine na mama ( bibi wa mtoto) akabaki na mtoto!

Stay tuned.

Kwenye hili, ingekuwa ni mimi, ningedai talaka upesi sana maana mume akijua ni mauaji au masimango yasiyosemekana.

...pheeewwwww! WoS sasa hii nayo kali.
Anyway, ndio maana kwenye madhehebu ya kiislamu, mke akiachwa au kufiwa na mumewe, anastahiki kukaa eda,
au kama ana mimba, mpaka azae kuepusha migogoro kama hii!
 
Hii kesi inanikumbusha nilienda kijiji fulani kutafuta msichana wa kusaidia kazi, nikapewa africasti wa kizungu, kuuliza kulikoni mama akanipa story eti alikuwa analima shambani, akapita mzungu akasimama kujisaidia haja ndogo alipomuona akamwomba walale wote akampa zawadi na alf ishirini hivi. baada ya muda akajikuta mjamzito wala hakuwa na wasiwasi alijua ni ya mumewe tu.
Kuzaliwa akazaliwa huyo mzungu kasheshe likaibuka, unajua yule mama liambiwa atoe fine ya ng'ombe akasamehewa na familia ikaendelea kwa hiyo mtoto kamaliza la saba anatafutiwa kazi kama kawaida.sikumchukua mwenzangu

Huyu dada alikosea kitu kimoja tu, kumwambia yule jamaa< hivi angekaa kimya ingemcost nini? au ndio kujifanya anampenda sana, na kwa taarifa yake mtoto baba wa nyumbani akimkatalia huyo bwana ake hataweza kumchukua, sanasana atachargiwa kesi ya kuingilia ndoa ya watu, au amesahau kwamba kitanda hakizai haramu? Huyo mwanaume nae ambae ana mke anang'ang'ania mtoto ni Mwehu kabisa, ajiweke yeye mtu aje amdai mtoto kama atahimili, hata kama anajua ni wake angenyamaza tu.

Dah kuna jamaa hapo Ubungo alikuwa na rafiki yake Mchina kila siku jamaa anamtembelea kumbe Mchina anamega mke wa jamaa.

Mama alipata ujauzito akazaa mtoto Mchina jamaa kama zezeta vile nae kaona fresh kisa kaambiwa mimba ilikuwa inampenda Mchina.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ila haya masaibu yasikieni kwa wengine tu! Yakikukuta mtu unaweza kujikuta unafanya jambo utakalolijutia kwa maisha yako yote yaliyobaki....
 
Ila haya masaibu yasikieni kwa wengine tu! Yakikukuta mtu unaweza kujikuta unafanya jambo utakalolijutia kwa maisha yako yote yaliyobaki....

Inauma sana

Ombea yasikukute maana dah unaweza kula kichwa
 
Hii kesi inanikumbusha nilienda kijiji fulani kutafuta msichana wa kusaidia kazi, nikapewa africasti wa kizungu, kuuliza kulikoni mama akanipa story eti alikuwa analima shambani, akapita mzungu akasimama kujisaidia haja ndogo alipomuona akamwomba walale wote akampa zawadi na alf ishirini hivi. baada ya muda akajikuta mjamzito wala hakuwa na wasiwasi alijua ni ya mumewe tu.
Kuzaliwa akazaliwa huyo mzungu kasheshe likaibuka, unajua yule mama liambiwa atoe fine ya ng'ombe akasamehewa na familia ikaendelea kwa hiyo mtoto kamaliza la saba anatafutiwa kazi kama kawaida.sikumchukua mwenzangu

Huyu dada alikosea kitu kimoja tu, kumwambia yule jamaa< hivi angekaa kimya ingemcost nini? au ndio kujifanya anampenda sana, na kwa taarifa yake mtoto baba wa nyumbani akimkatalia huyo bwana ake hataweza kumchukua, sanasana atachargiwa kesi ya kuingilia ndoa ya watu, au amesahau kwamba kitanda hakizai haramu? Huyo mwanaume nae ambae ana mke anang'ang'ania mtoto ni Mwehu kabisa, ajiweke yeye mtu aje amdai mtoto kama atahimili, hata kama anajua ni wake angenyamaza tu.

..duuuh,
hausigeli chotara!...ungemchukua tu bana.
Lakini kwa jinsi hizi mixed race wanavyotoka wazuri, kwakweli ungeletesha mtihani tu nyumbani kwako.
Anyway,...kwa ukumbusho tu, neno "half caste" kwa sasa linachukuliwa kama derogatory term,...
Wanaitwa Mixed Race.

Maskini wee, natamani kumkomboa huyo binti...sio kosa lake kuzaliwa kwenye jamii hiyo.
 
hahah Maty kumbe 'tupo' wengie eeh

sasa mbona hapa kuna baadhi ya watu wanatoa povu sana....mmm:gossip:

Hahahaha umeona ee maisha bana, kaaaaz kweli kweli na mungu atusaidie
 
Maty my dear, si hao tu wazinzi na hii inaweza kutokea hata kwa mmoja wetu ni kwamba hapa JF watu wanawakilisha mawazo yao juu ya tukio husika. Binafsi siko kwenye ndoa, kwa udi na uvumba nimesikitishwa kwa hali hii especially hali ya huyo mtoto ambaye ataathirika na malezi kisa starehe ya wanandoa wezi.
Hamna mahali suala la kucheat limehalalishwa ndio mana watu wanafanya kwa siri..kikubwa zaidi ni tamaa za mwili..na hii mada ni funzo kubwa ukifikiria kiundani!..

Ni kweli kabisa mamito hii mada ina funzo kubwa sana
 
Not me...a buddy of mine....
No confusion tena...sawa BJ?
You good?

Pheew!! got you now, kumbe ni buddy wako..usikute hii ndio issue yenyewe,kidding!!
I'm gud, thanx..hope all is well with you too!!..NB: Don't cheat, learn from your buddy's incidence🙂))ha ha
 
Ila haya masaibu yasikieni kwa wengine tu! Yakikukuta mtu unaweza kujikuta unafanya jambo utakalolijutia kwa maisha yako yote yaliyobaki....

We acha tu ni kama msiba, usikilizie kwa wengine...changamoto za mapenzi zinaweza kukukatiza maisha au kukufanya usiwe na hamu ya kuishi tena!!..
 
Ila haya masaibu yasikieni kwa wengine tu! Yakikukuta mtu unaweza kujikuta unafanya jambo utakalolijutia kwa maisha yako yote yaliyobaki....

...kujutia hapana, kesi kama hizi unatakiwa kufanya kitendo kitachoacha simulizi kwa miaka mingi ijayo.

...Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..

Nawasilisha.
 
helo WoS.....Nimekumisss mami

hebu utakuja kutupa maendeleo ya hiyo kesi manake nimejikuta nacheka eti jamaa anadai haki hata kabla mtoto hajazaliwa...amejuaje ni wa kwake au tayari DNA?

Siwezi kuweka details hapa.Kisa ni kirefu sana ili uweze kuelewa "basis" ya jamaa kuthubutu kupeleka kesi mahakamani.In short ilianzia na "negotiations" baina ya mke wa mtu na jamaa maana mwanamke huyo ndiye aliyemwambia jamaa kuwa ana ujauzito wake. Jamaa kusikia basi akawa analazimisha haki, Mwanamke kuona hivyo, ikabidi amwambie mumewe.Mume naye akapambana na jamaa hadi wakapelekana mahakamani.Huko kuna claims na counter claims kuhusu haki kwa kiumbe kitakachozaliwa.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimekumbuka msemo moja unasema " KIKUPACHO UTAMU NA UCHUNGU KITAKUPA"
 
Huyo mtoto ana haki ya kuwafahamu biological parents wake, period. Jinsi gani atawafahamu, ni jukumu la wazazi wake kutafuta njia.
 
...kujutia hapana, kesi kama hizi unatakiwa kufanya kitendo kitachoacha simulizi kwa miaka mingi ijayo.

Like pulling an OJ Simpson? Hahaaa u better be careful coz you may not be as lucky and end up in the slammer for the rest of your life without the possibility of parole...
 
We acha tu ni kama msiba, usikilizie kwa wengine...changamoto za mapenzi zinaweza kukukatiza maisha au kukufanya usiwe na hamu ya kuishi tena!!..

...whaaaaaaat? kukatiza maisha hakuwaondolei furaha 'wabaya' wako.
Ndio kwanza watakuja ku pay last respect kwenye mazishi yako wakikucheka ulivyokufa kibudu!
Don't you ever be another victim wa mapenzi!
Choose to live, Survive and Prosperity...hilo ni pigo tosha kwao.

Be Brave to face the challenges, ...accept and learn from it!
Challenges kama hizi ndio kipimo cha ustahmilivu wa mtu.
Wengine tuna face challenge kwa challenge, wengine wanamuachia Mungu.
There's always a light a the end of the tunnel!

I hope Chetuntu, Shantel na wote walioanzisha mada nzito wiki hii watatuletea feedback.
 
Pheew!! got you now, kumbe ni buddy wako..usikute hii ndio issue yenyewe,kidding!!
I'm gud, thanx..hope all is well with you too!!..NB: Don't cheat, learn from your buddy's incidence🙂))ha ha

Hahahaaaaa....BJ...RR is made of flesh, remember that....but not that far...
:focus:
Kama ni yenyewe imekua altered kidogo.....ila very similar...actually msichana aliolewa akiwa na ujauzito wa jamaa....
 
Nyamayao:mie ishu yangu kubwa na huyu dada ni kwamba alishindwa kusoma alama za nyakati, kulikuwa na ulazima gani kumwambia huyo mwizi mwenzie kwamba mimba ni yake?

Hiyo ni dharau kubwa aliyonayo huyo mwanamke kwa mumewe, Inaonyesha ni jinsi gani anavyompenda huyo mme mwizi. Ngoja abebe mzigo wake. Kipindi alipokuwa anachojowa hizo gagulo na ch.pi mbona alikuwa anafurahia? Ngoja aonje na machungu yake.

Hainiingii akilini umeolewa unaamua kuzaa na mwanaume mwingine, ndo kumpenda sana au? Kwa nini sasa usimwambie huyo mume aliyenaye mapenzi yameisha waachane akawe mke wa pili kwa huyo mwizi?

Kayavulia nguo ngoja ayaoge!

Back
Top Bottom