msaada kwa mtu wa ifakara au yeyote yule

msaada kwa mtu wa ifakara au yeyote yule

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
kwanza salaaam jaman ninashida sana na Dr.Omary ambaye mara ya mwisho alinitibu 2008 pale St.Francis hosp Ifakara ila kwa sasa sijui yupo wapi maana nimejaribu website ya Hospitali nimeshindwa naomba mtu yeyote anayemfaham anitumie namba yake au namba ya mfanyakazi yeyote wa st.Francis
 
Unaumwa nini ndugu yangu?
Kama una kaswende, gono au claymadia kuna dr namfahamu anaweza akakusaidia kama sivyo unaweza kuwatafuta madr wengine maeneo ya hapo unapoishi.
 
cjajua kama umempata au lah! ila mi nipo zangu ifakara kwa mishe kama wiki 2 hv sa nifuatilia 2tajua 2fanyeje!
 
cjajua kama umempata au lah! ila mi nipo zangu ifakara kwa mishe kama wiki 2 hv sa nifuatilia 2tajua 2fanyeje!
sijampata ndugu yangu. Mi nipo chuon moshi na ninasumbuliwa na tatizi la tinnitus ambapo nmeshauriwa kurud ifakara so nina mpango wa kuja jun na ndio maana natafuta mawasiliano
 
Unaumwa nini ndugu yangu?
Kama una kaswende, gono au claymadia kuna dr namfahamu anaweza akakusaidia kama sivyo unaweza kuwatafuta madr wengine maeneo ya hapo unapoishi.

ninasumbuliwa na tinnitus na nimeshauriwa kwenda hosp hiyo kama nilivyojieleza
 
Back
Top Bottom