Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

We unamuacha
mwenzako anajiua
kwa nini usiwe unamuuzia kangala tu?
 
Hyo arosto imeshamuingia kwenye damu ....inabidi abadili aina ya starehe itakayomfanya aache pombe kali isiyo na lishe ndani yake
 
Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni.

Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali.

Ipi tiba yake?
Ooh simple,azimue mkuu na baada ya hapo anywe maji mengiii!Ila ajitahidi aache alipofikia sio poa!
 
Back
Top Bottom