Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

Hivi kangala ni jina la pombe mahususi? Kikoje hicho kinywaji?. Mi nilidhani kangala ni jina jumuishi la pombe za asili kama vile gongo, kyindi, komoni, kimpumu, ikyambi, ulanzi, mbege, wanzuki nk.
 
Hivi kangala ni jina la pombe mahususi? Kikoje hicho kinywaji?. Mi nilidhani kangala ni jina jumuishi la pombe za asili kama vile gongo, kyindi, komoni, kimpumu, ikyambi, ulanzi, mbege, wanzuki nk.
Ni pombe ya asili,hapa Wagogo wanatengenezea mtama na Asali,mjini wamegundua wanaweka na amila,usipokula vizuri mishavu hiyo kama pulizo!
 
Mwajiri anahusikaje na mtetemo!
Nilipoona umetaja kuwa hawezi kuandika nikjua issue ni vipi atapona alinde kibarua chake. Usingetaja carrier yake nisingekuwa na haja ya kutaka kujua mwajiri wake anasemaje.
Awahi hospital kabla tatizo halijakomaa
 
Mwambie atafune chaki vipande viwili, kutwa mara3.
 
Back
Top Bottom