sheriff john brown
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 717
- 714
Hivi kangala ni jina la pombe mahususi? Kikoje hicho kinywaji?. Mi nilidhani kangala ni jina jumuishi la pombe za asili kama vile gongo, kyindi, komoni, kimpumu, ikyambi, ulanzi, mbege, wanzuki nk.