Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
More than 5 years.Ni mteja wako kwa muda Gani?
Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni.
Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali.
Ipi tiba yake?
Mrudisheni nyumbani ili akili yake ikakae sawa. Lkn ikishindikana msubirie kumfukia.
Toa upumbavu wako?Mrudisheni nyumbani ili akili yake ikakae sawa. Lkn ikishindikana msubirie kumfukia.
Huwa anamalizia Kangala kwa baadae.We unamuacha
mwenzako anajiua
kwa nini usiwe unamuuzia kangala tu?
Tiba ni nini?Siyo pombe tu hata pressure ikiwa juu mikono inatetemeka
Mimi mwenyewe ni mwalimu.Kwan ungesema tu kuwa una rafik yako mwenye tatizo la kutetema kama mayele bila kutaja ualimu ungepungukiwa nini🤔🤔🤔
Kwamba inawezekana anapata hasira akisahisha madaftari namna wamepata zeroHasira nazo husababisha mikono kutetemeka...ivyo achunguze vizuri
Toa upumbavu wako?
Ooh simple,azimue mkuu na baada ya hapo anywe maji mengiii!Ila ajitahidi aache alipofikia sio poa!Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni.
Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali.
Ipi tiba yake?