iyengamuliro
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 819
- 366
Kama hiyo nyeupe
V6 hakikisha mfukoni una laki kila sikuKama hiyo nyeupe
Hamna gari hapo....Kama hiyo nyeupe
Hii ndio gari sasa.... Kuna mtu wangu wa karibu anayo toka 2007 bado inadai despite shuruba anazo ipa.Ipi kati ya hizi?View attachment 391199
Itapendeza sana kama utanipa sababu za msingi mkuu.Sikushauri ata moja apo
Ofisi yangu imenunua 0km haijafika 50 000 lakini imepark na itauzwa kisa gharama !!Hii ndio gari sasa.... Kuna mtu wangu wa karibu anayo toka 2007 bado inadai despite shuruba anazo ipa.
Gharama ya nini mkuu?.Je ni sipeya au matengenezo?.Naomba ufafanuzi kidogo.Ofisi yangu imenunua 0km haijafika 50 000 lakini imepark na itauzwa kisa gharama !!
Ofisi yangu imenunua 0km haijafika 50 000 lakini imepark na itauzwa kisa gharama !!