Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
nalitumia kwa kua nimepewa na ofisi na linakua fully serviced na fully fueled na ofisi, ila kinyume na hapo ningeshalipark siku miingi.. hili ni jini mahaba. linanyoya wese balaaa... kila siku kuna kelele mpya huko chini ukipita kwenye rough roads, spare bei ghali.. halafu thamani yake imeshuka mno. mwanzoni yaliuzwa almost 45 m.. saivo hata 20 unapata.. sikushauri hata kidogo. i would rather advice you go for rav 4 au vanguard