Msaada kwa mwenye uelewa wa Suzuki Escudo toleo la tatu.

Msaada kwa mwenye uelewa wa Suzuki Escudo toleo la tatu.

Hapana...nna Suzuki Escudo toleo la kwanza, 1999s....km 260,000+ namba AS....mpk leo naenda safari ndefu km 700+ bila shida...utunzaji tu
Nauliza sababu kila mtu akitoa tangazo la gari the first info ni namba "mpya", Badala ya details muhimu.
 
Back
Top Bottom