Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Ahsante kwa ushauri mzuri nimeupokea.nalitumia kwa kua nimepewa na ofisi na linakua fully serviced na fully fueled na ofisi, ila kinyume na hapo ningeshalipark siku miingi.. hili ni jini mahaba. linanyoya wese balaaa... kila siku kuna kelele mpya huko chini ukipita kwenye rough roads, spare bei ghali.. halafu thamani yake imeshuka mno. mwanzoni yaliuzwa almost 45 m.. saivo hata 20 unapata.. sikushauri hata kidogo. i would rather advice you go for rav 4 au vanguard
Ahsante kwa ushauri wako murua ndugu yangu nimeupokea.Mzee wangu ana Escudo V6, anayo tangu 2010, anasema haijawahi kusumbua hata kidogo, anaifanyia service za kawaida tu ila kuhusu mambo ya kubadili spea hayajui na sasa imetembea kama km 125,000 hivi . Sema shida ya hili gari ni 1 tu, wese! Kama unahela ya kuungaunga don't try it
Mkuu nunua tu TD54W nazani unamaanisha, hakikisha unaangalia grade ya gari na sio just milegae ingawa bei yaweza kuwa juu kidogo, lakini ni gari zisizokuwa na magonjwa marakwamara nina uhakika ninao kwambia na ninzuri off road na highway kwa uzoefu wangu, ila tu size ya boot nyuma ni ndogo kidogo kama mtu wa kusafiri sana familia huwezi kufananisha na boot la la klugerIyengamuliro naomba mrejesho kama ulifanikiwa kununua hiyo Suzuki toleo la tatu kwani hata mimi huwa naitamani sana.Unaionaje ulaji wa mafuta,upatikanaji wa spea zake na confortability yake?.
Nashukuru kwa ushauri wako murua.Huwa nazipenda sana kuliko Harrier na Kluger.Ngoja niendelee kuchukuwa ushauri zaidi humu kwani najua kuna wanaomiliki hizi Suzuki 3rd model humu.Mkuu nunua tu TD54W nazani unamaanisha, hakikisha unaangalia grade ya gari na sio just milegae ingawa bei yaweza kuwa juu kidogo, lakini ni gari zisizokuwa na magonjwa marakwamara nina uhakika ninao kwambia na ninzuri off road na highway kwa uzoefu wangu, ila tu size ya boot nyuma ni ndogo kidogo kama mtu wa kusafiri sana familia huwezi kufananisha na boot la la kluger
Si ndo hao wanaoshauri mkuuNashukuru kwa ushauri wako murua.Huwa nazipenda sana kuliko Harrier na Kluger.Ngoja niendelee kuchukuwa ushauri zaidi humu kwani najua kuna wanaomiliki hizi Suzuki 3rd model humu.
Ukiijitaji Subaru Forester niko nayo moja imesimama sana nahitaji 8 Mil neg namba CAZ..Je Subaru Forester inahimili barabara za gravel kama Suzuki?. Na vipi kuhusu body yake huwa haichoki kama harrier?.
Ukiijitaji Subaru Forester niko nayo moja imesimama sana nahitaji 8 Mil neg namba CAZ..
Ni kweli wamenishauri na si vibaya kuendelea kuruhusu mwenye mawazo zaidiSi ndo hao wanaoshauri mkuu