Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

Hiyo iko vizuri
Kwakua ina technology ya kisasa kwa bei nafuu
Hata sauti yake ni nzuri pia

NB ISIKILIZE NDIPO UNUNUE.
Sawa shukrani, ngoja nitajaribu kusikiliza kwanza!
 
Wakuu naomba experience yenu na hii brand, maana nisije nikajichanganya!
Inauzwaje na ina Watts ngapi? Nielekeze niichukue mie uwa nafagilia sana brands mpya sokoni uwa wanatoa vitu bora sana.

Juzi kati nilijilipua fridge kubwa double door lenye water dispenser aina ya MAK kutoka Uturuki na linapiga kazi mwanzo mwenga

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 

Fridge ulinunua bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…