kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Unajua ki msingi sound bar wali design haswa kwajili ya output ya flat tv…Hivi zinakuaga na mziki mziko kama ule wa ule wa gari?
Kuna baadhi ya maeneo hawataki masauti makubwa
Ila pia saut ya tv haitosheleze
Wakaunda sound bar
Ila kutokana navukuaji wa teknolojia pamoja na ushindani ndio ukaanza kuona 2.1… baadae zimewekewa surrounding zinapiga hadi 5.1
Hivyo bado kidogo sound bar na home theater system zitakua kitu kimoja
Save hi!