iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
In Bass ya kutosha, pia*setting ya bass yake una'adjust unavyotaka mwenyewe.
Ulichukua ngapi.? Bei i meanVizio ni product nzuri sana kwa soundbar, mimi nakushauri usijiulize.
Mimi ninayo VIZIO V5.1 natumia kwa muda sasa. Huwezi kufananisha na brand nyingi maarufu, iko vizuri sana.