Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

Ni kitu gani hii mkuu?
Kama wewe ni mpenzi wa muziki tu chukua sub woofer, kama ni mpenzi wa movie na muziki chukua sound bar kama wewe ni mpenzi wa movie tu chukua home theater
 
Back
Top Bottom