E Edo Mashili Member Joined Apr 19, 2015 Posts 24 Reaction score 0 May 10, 2015 #1 Mimi ni kijana wa kiume nimechukua comb ya arts HGL nimemalza kidato cha sta mwaka jana naomba mnisaidie ni facult gan nzuri ya kuchukua chuoni ambayo itakuwa na faida kwangu baada ya miaka yangu mitatu chuoni...NAKARIBISHA USHAURI NDUGU ZANGU
Mimi ni kijana wa kiume nimechukua comb ya arts HGL nimemalza kidato cha sta mwaka jana naomba mnisaidie ni facult gan nzuri ya kuchukua chuoni ambayo itakuwa na faida kwangu baada ya miaka yangu mitatu chuoni...NAKARIBISHA USHAURI NDUGU ZANGU
shalet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 3,430 Reaction score 3,547 May 10, 2015 #2 nenda ualimu
Gormahia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 515 Reaction score 352 May 10, 2015 #3 Ualimu,law nk
C Coco J Member Joined Apr 22, 2015 Posts 24 Reaction score 13 May 10, 2015 #4 literature and linguistics- UDSM
Troll JF JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 7,804 Reaction score 12,237 May 11, 2015 #7 Kwanza hakuna kusomea Faculty huwa tunasomea Programme! na Faculty ikiwa kubwa hubadilika kuwa College!
Kwanza hakuna kusomea Faculty huwa tunasomea Programme! na Faculty ikiwa kubwa hubadilika kuwa College!
Mmavele jr Senior Member Joined Aug 14, 2014 Posts 130 Reaction score 53 May 12, 2015 #8 health service management mzumbe
C CHIF Member Joined Apr 26, 2013 Posts 21 Reaction score 2 May 12, 2015 #9 uhasib,ualim,mazngra,law,tax, ww ni marketable wala uciogope