Edo Mashili
Member
- Apr 19, 2015
- 24
- 0
Mimi ni kijana wa kiume nimechukua comb ya arts HGL nimemalza kidato cha sta mwaka jana naomba mnisaidie ni facult gan nzuri ya kuchukua chuoni ambayo itakuwa na faida kwangu baada ya miaka yangu mitatu chuoni...NAKARIBISHA USHAURI NDUGU ZANGU