Msaada kwa sisi arts takers

Msaada kwa sisi arts takers

Edo Mashili

Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
24
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa kiume nimechukua comb ya arts HGL nimemalza kidato cha sta mwaka jana naomba mnisaidie ni facult gan nzuri ya kuchukua chuoni ambayo itakuwa na faida kwangu baada ya miaka yangu mitatu chuoni...NAKARIBISHA USHAURI NDUGU ZANGU
 
Kwanza hakuna kusomea Faculty huwa tunasomea Programme! na Faculty ikiwa kubwa hubadilika kuwa College!
 
uhasib,ualim,mazngra,law,tax, ww ni marketable wala uciogope
 
Back
Top Bottom