Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,567
Wana jamvi amani iwe kwenu na watanzania kwa jumla.
Mwanangu ana umri wa miaka 3 na mienzi 4 anatatizo la kua hataki/hapendi kula. Nimejaribiu hospitali amemaliza dozi lakini bado, nahitaji kama wataalamu mnazifahamu dawa za kienyeji/miti shamba kwa tatizo hili mnifahamishe.
Natanguliza shukurani kwenu.
Inawezekana unandaa chakula safi sana lakini bado mtoto anasumbua kula ili kumbadilisha tabia apende kula unatakiwa kumtengenezea kwanza hamu ya kula maana bila ya kuwa na hamu ya kula hata chakula kiwe kizuri vipi huwezi kula vizuri.Wana jamvi amani iwe kwenu na watanzania kwa jumla.
Mwanangu ana umri wa miaka 3 na mienzi 4 anatatizo la kua hataki/hapendi kula. Nimejaribiu hospitali amemaliza dozi lakini bado, nahitaji kama wataalamu mnazifahamu dawa za kienyeji/miti shamba kwa tatizo hili mnifahamishe.
Natanguliza shukurani kwenu.
ThanksKama una uwezo mbadilishie aina tofauti tofauti ya chakula. Kama hapendi ugali mjaribu wali kama hapendi mjaribu pilau..chips au tambi..lazima kuna chakula kati ya hivyo atapenda kula..wakati ukihangaika kutafuta aina ya chakula anachopenda hakikisha unampa matunda au juisi ya matunda..matunda kama parachichi na matikiti hupendwa sana na watoto..pia samaki hupendwa pia na watoto..usitafute mizizi kwanza fanya hivyo hope utapata ufumbuzi wa hilo tatizo