Msaada: Kwa Tsh. Milioni 26 naweza kujenga nyumba ya vyumba viwili nchini?

samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
Kufunga cctv inakuwaje gharama zake na specification zake?
 
Mpakani mwa Dar na Bagamoyo maana yake ni Mambwepande au Vikawe.
 
Una kiwanja?
Jiko sehemu gani?
Una taka Nyuma yenye zege Kwa msingi na renta au renta peke Yake?
Kiwanja chako kimekaaje, ni ubongo gani?
Unapendelea bati za Aina gani? Simba simu, au Alaf. Gauge gani? Muundo gani?

Kama kiwanja chako kipo maneno ya Dar kama kivule, mbagala, chanika. Kiwanja Chenye tambalale na square ,Ardhi ni mchanga
Na unapendelea bati za Simba dumu gage 30,32. Unaweza ukajenga
Kwa pesa hiyo Una weza ukajenga nyumba ya vyumba viatu vya kulala, Sebule, dinning, Jiko, Choo cha public cha ndani, na stoo. Kama nyumba yako utaweka mkanda Wa zege kwenye renta Tu Pekee. Utafanikiwa kujenga hiyo nyumba, kuizeka, kupiga floor ya kawaida, kupiga pasta nje ndani, kupiga skimming nje ndani, kuvuta umeme, na kuweka gypsum nyumba nzima na skimming Yake, kuhusu rangi labda ya maji utafanikiwa. Na pesa ya kujipongeza Kwa nyama choma na vinywaji inabakia. Kumbuka: Hii pia inajumuisha mafundi Wa mtaani Ila wenye CV nzuri. Mimi siyo fundi Ila Nina experience na ujenzi Wa nyumba yangu wenyewe niliyoisamimia mwanzo mwisho. Pesa hiyo ni nyingi na unatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…