Sawa mkuuShukrani ase ngoja nianze nayo
Jitahidi basi mkuu ukifika AGROVET utapata chanjo sahihi maana ufugaji una changamotoHawakupewa chanjo japo wakubwa nao walipewa mwezi wa saba nilitaka nirudie tena mwezi kumi
Kifaranga wa wiki moja angestahili ukute anapata chanjo ya 3 sasa ambayo ni ya kideri na mbili zilizopita ni za Marek's na PulorumShukrani but nitumie chanjo ipi maana kuna vifaraga wengine 30 wana wiki moja sijawapa chanjo yoyote na je naweza kuwachanja wote hata wanaoumwa?
Kwa hao wagonjwa wape chanjo stahiki, na hao wenye wiki wape chanjo ya kideri unaichanganya kwenye majiSawa kwahiyo niwaanzishie hiyo ya kideri wote?
Aiseee chanjo ni muhimu sana acha kufuga kwa hasara na kuja kulia lia jukwaani, chanjo ni muhimu kama maji, chakula na usafi wa banda. Hayo mambo zingatia wakati wote.Hawakupewa chanjo japo wakubwa nao walipewa mwezi wa saba nilitaka nirudie tena mwezi kumi