habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria siku moja nitaanzaa biashara ya export/import kutoka UK kwenda TANZANIA labda mngenisaidia ni bidhaa gani kutoka nyumbani kuja UK na kutoka UK kuja bongo ambazo ni marketable na supplier sio wengi.....ahsanteni.
Mkuu mambo vip?
Hongera kwa kutaka kuwekeza hm,
swali!
Hivi hii ni blog au website?

Kuna umuhimu gani katika hili, au hila tuu.
MJ
Mkuu mambo vip?
Hongera kwa kutaka kuwekeza hm,
swali!
Hivi hii ni blog au website?
Mpwa si uulize swali kamili: Hii ni blog, blogu au website?
swali!
Hivi hii ni blog au website?[/QUOTE]
Hii ni Forum. lakini blog na forum zote ni aina ya website.

sasa wewe ndio mwalimu!
sasa wewe ndio mwalimu!
Mbona upo kisharishari babu wewe! kumbe ulikuwa huna nia ya kujua!umeuliza swali umejibiwa sas tatizo lako nini?
Naweza kuwa mwalimu wako vilevile.
bigjeff!lol,ulitaka kufanana na mimi jina........!ooh sorry kumbe ni nje ya mada
Mbona upo kisharishari babu wewe! kumbe ulikuwa huna nia ya kujua!umeuliza swali umejibiwa sas tatizo lako nini?
Naweza kuwa mwalimu wako vilevile.
Shemeji nafurahi kujua aina ya muziki uupendao! interesting!

Nooooop,hunijui Nguli! Labda muulize Chrispin.Ipo siku ntakutokea tu kwenye viwanja vyenu japo mimi si muumini wa hiyo dini yako.Unatingisha kiberiti ee?
Pia naomba samahani kwa kukubaliwa kutolewa nje ya mada.

Shem yaishe! mimi siujui ugomvi kbs! peace and love!
Shemeji nafurahi kujua aina ya muziki uupendao! interesting!
Mpwa naona unataka kuingia kwenye anga za mpwao? Taratibu!!!
Nooooop,hunijui Nguli! Labda muulize Chrispin.Ipo siku ntakutokea tu kwenye viwanja vyenu japo mimi si muumini wa hiyo dini yako.Unatingisha kiberiti ee?
Pia naomba samahani kwa kukubaliwa kutolewa nje ya mada.
Mpwa naona unataka kuingia kwenye anga za mpwao? Taratibu!!!
Nimeshayamaliza nimemwaomba msamaha nikigombana na shemu nagombana na wewe pia which I cant afford u kno wora I mini?