bigjeff
Senior Member
- Oct 25, 2009
- 111
- 22
habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria siku moja nitaanzaa biashara ya export/import kutoka UK kwenda TANZANIA labda mngenisaidia ni bidhaa gani kutoka nyumbani kuja UK na kutoka UK kuja bongo ambazo ni marketable na supplier sio wengi.....ahsanteni.