Msaada kwa wajasilimali

Msaada kwa wajasilimali

bigjeff

Senior Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
111
Reaction score
22
habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria siku moja nitaanzaa biashara ya export/import kutoka UK kwenda TANZANIA labda mngenisaidia ni bidhaa gani kutoka nyumbani kuja UK na kutoka UK kuja bongo ambazo ni marketable na supplier sio wengi.....ahsanteni.
 
ndio, kwasababu sasa hivi base yangu ipo UK baadae kidogo nitachungulia nchi zingine
 
habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria siku moja nitaanzaa biashara ya export/import kutoka UK kwenda TANZANIA labda mngenisaidia ni bidhaa gani kutoka nyumbani kuja UK na kutoka UK kuja bongo ambazo ni marketable na supplier sio wengi.....ahsanteni.

Mkuu mambo vip?
Hongera kwa kutaka kuwekeza hm,

swali!
Hivi hii ni blog au website?
 
habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria siku moja nitaanzaa biashara ya export/import kutoka UK kwenda TANZANIA labda mngenisaidia ni bidhaa gani kutoka nyumbani kuja UK na kutoka UK kuja bongo ambazo ni marketable na supplier sio wengi.....ahsanteni.

Mtaji wako ni kiasi GANI?.
 
bigjeff!lol,ulitaka kufanana na mimi jina........!ooh sorry kumbe ni nje ya mada
 
Unahitajika kutuomba radhi kwa kututoa ndani ya perimeter ya mjadala wetu mpwa.
 
Nooooop,hunijui Nguli! Labda muulize Chrispin.Ipo siku ntakutokea tu kwenye viwanja vyenu japo mimi si muumini wa hiyo dini yako.Unatingisha kiberiti ee?

Pia naomba samahani kwa kukubaliwa kutolewa nje ya mada.

Kila siku nakuambiaga usipende kutoa siri za ndani we hunisikiagi! Kwa nini lakini mchumba?
 
Back
Top Bottom