kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
.
Sijawahi kufanya ila kama huna kitambulisho kabisa tafuta ata barua ya utambulisho serekali za mitaaHabari zanu wadau...
Nauliza Kwa wanaofahamu au waliowahi kuitwa katika usahili wa tume ya utumishi wa mahakama katika kada mbalimbali.
Je, ikiwa kama mhusika Hana kitambulisho Cha NIDA na akiwa na namba tu je Hilo linaweza sababisha akashindwa kufanikisha usahili?