Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
clinical medicine diploma with gpa of 4.8 (siyo mimi ni kijana)Una PCB?
asante kwa ushauri. It seems UDOM was very lousy! careless, negligent, unorganized and you name it!!Kama una sifa kamili basi itakua shida yao mkuu. ondoa shaka jaribu mara kwa mara au wapigie simu kabisa.
Anhaclinical medicine diploma with gpa of 4.8 (siyo mimi ni kijana)
Hapana mkuu uende mfumo unazidiwa na watu wanaoomba wamekuwa wengi sana hasa kwa public university.asante kwa ushauri. It seems UDOM was very lousy! careless, negligent, unorganized and you name it!!
Kigezo sio GPA tuu je matokeo ya Olevel yapo je?clinical medicine diploma with gpa of 4.8 (siyo mimi ni kijana)
ana B, C, D katika masomo yote. ambayo yanakidhi vigezoKigezo sio GPA tuu je matokeo ya Olevel yapo je?