Msaada kwa Walioomba UDOM kozi za udaktari, Nursing

Msaada kwa Walioomba UDOM kozi za udaktari, Nursing

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ukijaza kozi ya MD, Nursing, and and thw third one you qualify inasema huna sifa wakati una sifa zote kamilifu according to their prospectus and TCU
Tatizo ni nini?
 
Kama una sifa kamili basi itakua shida yao mkuu. ondoa shaka jaribu mara kwa mara au wapigie simu kabisa.
 
Kama una sifa kamili basi itakua shida yao mkuu. ondoa shaka jaribu mara kwa mara au wapigie simu kabisa.
asante kwa ushauri. It seems UDOM was very lousy! careless, negligent, unorganized and you name it!!
 
asante kwa ushauri. It seems UDOM was very lousy! careless, negligent, unorganized and you name it!!
Hapana mkuu uende mfumo unazidiwa na watu wanaoomba wamekuwa wengi sana hasa kwa public university.
 
Back
Top Bottom