Msaada kwa wanaojuwa hili kuhusu CBE Dar

Msaada kwa wanaojuwa hili kuhusu CBE Dar

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
Poleni na majukumu ya kazi wakuu,mimi nahitaji msaada kidogo nina uncle wangu anasoma CBE pale posta juzi tumemlipia ada ili afanye mitihani sasa tatizo hatujuwi kama kashamaliza hiyo mitihani maana yeye kila siku anatoka kwa kisingizio anaelekea chuoni ni mjanja mjanja sana,huwa hata siku za sikuku za kitaifa anasema anamitihani.1.naomba kujuwa kuna utaratibu wa kufanya mitihani kwenye sikuku za kitaifa?2.hiyo mitihani bado inafanyika mpaka sasa?3.ni lini chuo hiki wanafunga kwa likizo na ni kwa muda gani?4.inawezekana jumatatu mpaka jumatatu kukawa na vipindi siku zote za wiki?nitashukuru sana kwa ufafanuzi wenu ili tuweze kumsaidia binti huyu kwa manufaa yake na taifa kwa ujumla.Asanteni sana!
 
Nadhani wewe ukisikia anaenda chuo basi unajua ni vipindi darasani wakati mwingine ni discussion.akisema anakwenda diacussion mtamtilia shaka ndiyo maana anasema anakwenda chuo. La pili CBE ni kijiwe cha vidada poa. Labda pia ana kwenda kwenye mishe mishe hizo.La msingi ili kujua kama anasoma au la si mfuatilie maokeo yake ya semister.
Mkiona anavisapu sapu ndiyo muanze kuhoji.
 
Wanafunzi machangu wengi wa hapa town wanatoka CBE,nenda night club wamejaa wa kumwaga...
 
Nadhani wewe ukisikia anaenda chuo basi unajua ni vipindi darasani wakati mwingine ni discussion.akisema anakwenda diacussion mtamtilia shaka ndiyo maana anasema anakwenda chuo. La pili CBE ni kijiwe cha vidada poa. Labda pia ana kwenda kwenye mishe mishe hizo.La msingi ili kujua kama anasoma au la si mfuatilie maokeo yake ya semister.
Mkiona anavisapu sapu ndiyo muanze kuhoji.

Kumbe CBE inafanana na Ambiace,Sewa,Jolly...
 
Mitihani kwa level yote ya bachelor itaisha j3 trh 21. Diploma na certificate iliishaisha. Kuhusu vipindi kila cku kunakuwa na vipindi wakati mwengine mpk j1 kuna vipindi.
 
mitihani au masomo ya vyuo huweza kufanywa hata jumamosi,jumapili na hata siku za sikukuu. Cha muhimu fuatilia maendeleo yake tu na pia wasiliana na chuo watakuelezea ratiba yao. Kumchunga hauwezi.
 
acheni kuongea maneno ambayo hamjafanya reseach wala evidence hakuna unaesema cbe chuo cha machangudoa inaezekana na wewe ni miongoni mwa machangu hao xo huwa mnakutana gengen.
den kuongoz cbe huwa ina instalment 3 za ulipaji ada.
vipindi vipo kila cku asubui na ucku pia na test za cbe hazinaga special day ata public holiday unaezakuta kuna test inafanyika xo ucmhisi vibaya bint yako fata mwenendo wake dogo rac wangu amesoma cbe 3yearz na ametoka na gpa ya 1class.
 
Back
Top Bottom