kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Poleni na majukumu ya kazi wakuu,mimi nahitaji msaada kidogo nina uncle wangu anasoma CBE pale posta juzi tumemlipia ada ili afanye mitihani sasa tatizo hatujuwi kama kashamaliza hiyo mitihani maana yeye kila siku anatoka kwa kisingizio anaelekea chuoni ni mjanja mjanja sana,huwa hata siku za sikuku za kitaifa anasema anamitihani.1.naomba kujuwa kuna utaratibu wa kufanya mitihani kwenye sikuku za kitaifa?2.hiyo mitihani bado inafanyika mpaka sasa?3.ni lini chuo hiki wanafunga kwa likizo na ni kwa muda gani?4.inawezekana jumatatu mpaka jumatatu kukawa na vipindi siku zote za wiki?nitashukuru sana kwa ufafanuzi wenu ili tuweze kumsaidia binti huyu kwa manufaa yake na taifa kwa ujumla.Asanteni sana!