Msaada kwa wataalam wa Safari za Dubai

Msaada kwa wataalam wa Safari za Dubai

Habari wakuu,

Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3.

Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai

Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa.

Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
Broo unakuja Dubai kula bata au unakuja kufanya biashara ?
Ukitaka kuka ghetto yapo uikitaka hotel zipo burget yako tu .
Viza ni 100$
Air TZ 400$ plus go and return .
Ukita more info niandikie private.
 
Akodi Bed spaces maana chumba gharama akiwa na 1,000,000 malazi na chakula will help him, alafu akiwa na 2000,000 ya kuwazungusha mizinguko mbali mbali kwa per tandu itasaidia

Mwisho kabisa ni Ticket kata ya waafrika japo utasafiri na Unga wa Oboloka wa wa Nigeria haha Ethiopia airlines iko cheap Kama 450$ each go and return ticket

Visa ya week mbili ni 100$ Kama mwezi ni 150$ mpaka miezi 3 kwa kila mtu!!

Ukiwa una shughuli maalumu inayotambulika inakuwia rahis sana kwako kupata visa maana Ma agents wa visa watakusaidia sana kwa confidence bila kuogopa kwamba utakimbia nchi wafungiwe shughuli zao au u overstay walipishwe fine!!!

Ukiwa na 7M mnaenda na kurudi Ila Kama ni mtu wa bajet sana hata 4M inatosha
Naomba nifugue Uzi wako Mtaalam
1. Kwa uzoefu wako; ni ndege gani zinawenda Dubai, ukiwatoa hao Emirates wanaojifanya wababe wa routes za angani mithili ya KATARAMA
2. Any proposal kwa agent mzuri wa DUBAI kwa ajili ya logistics za Visa & accomodations?
 
Back
Top Bottom