Msaada kwa wataalamu wa meno

Msaada kwa wataalamu wa meno

Salaam kwenu,Naomba msaada wa kujua dawa ya maumivu ya meno kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitano. Nimtoto wajirani yangu amekuwa halali na amevimba shavu kabisa. Jino ni la upande wa chini mwisho.
Njoo PM chapu ni kupe namba ya mtaalamu wa miti shamba, hautajutia na ulete mrejesho hapa na useme ulipo.
 
Mkuu ampeleke hospitali mara moja!
Sipingi Mkuu..bali iki mpendeza anifuate tu PM , hatojutia na halitang'olewa..Nimeokoa la kwangu majuzi kati tu hapa.Watu wana Karama zao, dawa ya unga, unabwia mudomoni bila hata maji mate yanajaa na povu kama lote..unakuwa unasukutua tu na kutema.Jino nikawa ninalisikia linajipanga lenyewe utadhani kuna mtu kinywani analiseti upya.Nilistaajabu sana.Ni Elfu 10 tu..dozi siku 7 .Mtu wa watu hana mambo mengi.Usipo tilia maanani dozi humalizi...Maana maumivu ile siku ya kwanza tu, yanapungua mno..
 
Clinic za meno sikuizi ziko nyingi usitafute njia za panya wato wengi wanapata hii shida kitaalam inaitwa Dental caries kwa sababu ya matumizi ya pipi na vita vya sukari sukari hivyo jitahidi umpeleke hospital mapema asije kupata jibu la jino( Dental abscess)
images (38).jpeg
download (1).jpeg
 
Hii nimeitoa huko kwenye group la tiba Asili unaweza kujaribu pia
20240708_135324.jpg
 
Asante mkuu,japo wanadai hospital mara nyingi suluhisho la tatizo la meno ni kung'oa p

Salaam kwenu,Naomba msaada wa kujua dawa ya maumivu ya meno kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitano. Nimtoto wajirani yangu amekuwa halali na amevimba shavu kabisa. Jino ni la upande wa chini mwisho.
Nasisitiza peleka mtoto hospitali
 
Kwasababu ni mtoto na hajang’oa meno basi aking’oa jino hilo hospitali ni sawa. Ila aachane na vyakula vyenye sukari kama biscuits, pipi, keki, soda, nk
 
Back
Top Bottom