Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

Balozi limited

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
989
Reaction score
2,565
Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk

Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
 
kwa sasa hii biashara imenifanya kufikilia kuwa na kitu mjini maana kwakwl huwez pata hasara labda uibiwe!
 
Ngoja niweke comment ili uzi uendelee kukaa juu wajuzi waje kuuona.
 
Sawa ngoja ni kujuze kidogo kwa uzoefu wangu katika biashara ya nafaka kidogo nimeanza mda mlefu kwaiyo mpaka sas najuwa changamoto zake mwazoni nilikuwa nanunua maindi Yani kulikuwa na kusanya maindi Toka iringa naleta dar kipindi icho cjui chochote na malengo yalikuwa kununua maindi Kisha kusaga munyewe na kuuza munyewa kumbuka cna gala wa mashine Yani nilikuwa napeleke kwenye magodauni pale tandika kuiza gunia moja walikuwa wanakata 5000 alafu mim nachukuwa kidogokidogo kupeleka mashine kusaga na kukoboa mwezi na maliza Tani 15 biashara changamoto Sana tusha sumbuliwa Sana sido naavibali lakini kwakweli mim nilitoboa ilikumwaka 2017 kwenye kutembea mikoani kutafuta maindi nilikutana na fursa nyingi Sana Kama kunde na paazi uko kusini atali korosho japo Hadi Leo bado awajanimalizia Ila cna asara sas katika kutembea nikiwa shinyanga niliona utajari wa mpunga mpaka leo nipo kahama uku kidogo Mambo mazuri kwaiyo story zipo nyingi sas sijajuwa ww ulitaka kuingia Poli au kulangu mjini uko
 
Shukurani sana Mjini kuuza tu km kufungua fremu kwaajiri yake, lkn sources ni kokote kikubwa iwe sehemu ya uhakika, risk zake, faida zake na approximately km mtaji wa sh ngp hivi itahitaji kuendesha hiyo trade

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk

Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
Kwa hiyo hauna chochote?
 
Jitahidi kwanza kujikita kwenye aina moja au mbili za nafaka..ili kuusoma mchezo huku ukiongeza kadri game linavyoenda.

Nakushauri kwa unafuu wa bei nenda pori mashambani kakusanye mzigo leta mjini kwenye site yako hii itakupa faida zaidi.

Kwa dsm ni mchele na unga wa mahindi..ingawa nafaka karibia zote kwa dsm zinafanya vizri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Asante mkuu kwa ushauri mzuri

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ngoja ni kujuze kidogo kwa uzoefu wangu katika biashara ya nafaka kidogo nimeanza mda mlefu kwaiyo mpaka sas najuwa changamoto zake mwazoni nilikuwa nanunua maindi Yani kulikuwa na kusanya maindi Toka iringa naleta dar kipindi icho cjui chochote na malengo yalikuwa kununua maindi Kisha kusaga munyewe na kuuza munyewa kumbuka cna gala wa mashine Yani nilikuwa napeleke kwenye magodauni pale tandika kuiza gunia moja walikuwa wanakata 5000 alafu mim nachukuwa kidogokidogo kupeleka mashine kusaga na kukoboa mwezi na maliza Tani 15 biashara changamoto Sana tusha sumbuliwa Sana sido naavibali lakini kwakweli mim nilitoboa ilikumwaka 2017 kwenye kutembea mikoani kutafuta maindi nilikutana na fursa nyingi Sana Kama kunde na paazi uko kusini atali korosho japo Hadi Leo bado awajanimalizia Ila cna asara sas katika kutembea nikiwa shinyanga niliona utajari wa mpunga mpaka leo nipo kahama uku kidogo Mambo mazuri kwaiyo story zipo nyingi sas sijajuwa ww ulitaka kuingia Poli au kulangu mjini uko
Mkuu kwema?? Hebu cheki PM kwako kuna link kaka.
 
Habari zenu wana jukwaa.

Naomba kuuliza kuhusu biashara ya Nafaka namna ya kupata mahali pa kununua mfano.Mahindi,mchele, maharagwe.nk.

Pia naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi, usafirishaji pia masoko, yaani mara baada ya kununua mzigo nawezaje kupata masoko ya uhakika ili biashara iendelee kwa haraka.

Naomba pia kupata marafiki wanafanya biashara ya namna hii ili tupeane angalau uzoefu katika biashara.

Asante sana.🙏
 
Back
Top Bottom