ππ Unaweza filisika.π π π premium yao bei $ 15,000 na usheee.. nina plan ya ka banda umiza ka hizo issue nikasema nitaishia kununua Nesus panoja na Burpsuite tu.. hizo zingine nitaendelea tumia za bure maana bei zake sio za mtanzania mie
Nitaipitia niingalie mkuu.. shukrani sanaa.. πππ.. Burpsuite wanauza jina piaHuwezi amini natengeneza diss project ya burpsuite, hii kitu iko overpriced.
Nimeiweka kwenye flow ya OWASP Pentesting guide
Icheki kwenye github yangu GitHub - PeterNdomano/viliop: Integrated Cybersecurity Pentesting Software For Everyone
Sema ukikamata ma certification ya E-council unajiwekea mazingira ya kuwa manager au director wa kitengo.. taasisi nyingi wanaziamini maana .. na zinajulikana sanaa.. ukiwa nayo hata ma cert yao manne kitengoni wanakuona wa maama kweli kweli π πππ Unaweza filisika.
Kitabu cha CEH all in one exam nilipewa contents tu kilicho baki nikaambiwa natakiwa kununua.
Oya Elimu gharama nyie
Ofcoz ndo maana nikaitema sababu hata ningekua nayo mie sikuaga na cheti cha chuo chochote kile, I'm a dropout, so CEH yenyewe kama yenyewe isingenibeba labda kwa nje.Sure. Certication zenye uzito zote bei mkasi kinomaa.. na ukiwa nazo mbele unakua deal hapa bongo bado .. kama mahala wanapo hitaji watu wa field practical zaidi Offensive na elearnSecurity zina kimbiliwa sana.. ila kama wanataka maboss wa Administration utakuta wanachukia wenye E-council, Isaac, Isc.. na wengine neo kadhaa
kama una cert za kutosha kuna mahala unaingia mkuu, cv itakubeba.. ingawa tuna tabia ya kuangalia sana vyetiOfcoz ndo maana nikaitema sababu hata ningekua nayo mie sikuaga na cheti cha chuo chochote kile, I'm a dropout, so CEH yenyewe kama yenyewe isingenibeba labda kwa nje.
Lkn kali linux nzima ile nimecheza nayo hadi naiota, ni hvo tu bongo wanaajiri vyeti sio talent. Na nikisema niwe blackhat ni risking tu
af unajua Ukiwa na ile ZAP ya Owasp (hii iko free) na ukawa skilled mambo mengi unafanya hata bila burp. Sasa mie nataka nicreate hii yangu iwe beyond ZAP, shida time tuNitaipitia niingalie mkuu.. shukrani sanaa.. πππ.. Burpsuite wanauza jina pia
Nishatoka huko, kukusanya cert sometimes unapoteza muda tu.kama una cert za kutosha kuna mahala unaingia mkuu, cv itakubeba.. ingawa tuna tabia ya kuangalia sana vyeti
Kidogo kidogo unapo pata mda. secret ya kuwini kwenye pen test ni mda unao tumia kuelewa mfumo .. unaweza tumia simple kabisa .. Adrian Lamo ni mtu alie ni inspire sana kipindi flani.. concept yake ya kutumia 98, notepad ilinipa hasira sana kuwa mmbunifu na kuisoma zaidi mifumo.. kwenda beyond ZAP unaweza na ukafanya bora zaidiaf unajua Ukiwa na ile ZAP ya Owasp (hii iko free) na ukawa skilled mambo mengi unafanya hata bila burp. Sasa mie nataka nicreate hii yangu iwe beyond ZAP, shida time tu
Nitajaribu hii optionIBAN ni kwa europe hapa tanzania huwezi pewa hii. Inaapply kwa SEPA transfers. Ungetengeneza akaunti ya virtual hata ya wise ya euro ukahamishia humo then ukahamishia kwa akaunti yako
Inawork mimi natumia payoneer na napokea malipo ya europe kwa njia hiyo lakini unlike wise payoneer lazima mlipaji awe kampuni wakati wise si lazimaNitajaribu hii option
Daaah sikujua hili, huwezi amini nilishaishia kumwambia mdeni wangu anifanyie order amazon ya kitu fln baada ya kushindikana kufanikisha kunitumia hela huku nilipo, na dude jenyewe hata silitumii sikuhz
Daaah asante sana kwa hii elimu mkuuView attachment 2668846
Hii ni akaunti yako, na hata juzi nimepokea malipo toka portugal, inapokea malipo umoja wa ulaya nzima ili mradi iwe SEPA transfer which means inakuwa ina Euros, kama ni UK natumia ya pound ili mradi malipo yatokee UK na yawe in pounds. Lazima uzingatie hilo otherwise pesa itabounce na itarudi kwa mtumaji na inaweza chukua hata mwezi kama ni marekan natumia dollar akaunti.
Yani easy na uhakika na pesa haichukui muda kureflect masaa au siku moja tu
π π π nae inabidi tumshangae maana swift code za mabenk zote zipo hata kwenye mitandao wala uhitaji kwenda bank.. ila hao wa bank kutokujua ni tatizo zaidiDada mmoja alienda kwa bank yake kuulizia SwiftCode, mhudumu wa kwanza wa bank hadi muhudumu wa 3 wakawa wanamzungusha na wenyewe hawaijui swift code!!!!! Baadae alinipigia kunihadithia ikabidi nimuulize how?? How hawajui au ni watoto wa field uliwauliza?
Sidhani ka mtumishi wa benki hawezi elewa Swift code zao[emoji28][emoji28][emoji28] nae inabidi tumshangae maana swift code za mabenk zote zipo hata kwenye mitandao wala uhitaji kwenda bank.. ila hao wa bank kutokujua ni tatizo zaidi
Hapo nilijionea mtihani, mi nilimwambia unge βguguβ ungeipata bila kufunga safari ya bank, si unajua kimuhemuhe cha kusubiri muamala wa nje?π π π nae inabidi tumshangae maana swift code za mabenk zote zipo hata kwenye mitandao wala uhitaji kwenda bank.. ila hao wa bank kutokujua ni tatizo zaidi
landa walikuwa field .. unashangaa staff bank kutokujua swift code . hii inchi ina mambo ya ajabu sanaSidhani ka mtumishi wa benki hawezi elewa Swift code zao
CORUTZTZNaweza pata ya CRDB au ni lazima kwenda bank
π π π π mambo ya pesa za kigeni.. lazima upate ka mchemcheto... itakuwa alimuuliza mwana fieldHapo nilijionea mtihani, mi nilimwambia unge βguguβ ungeipata bila kufunga safari ya bank, si unajua kimuhemuhe cha kusubiri muamala wa nje?
Hao wa benk ndio walinifanya nichanganyikiwe rafiki, au labda alimuuliza security guard ππ