Msaada kwa wenye ujuzi wa IBAN na SWIFT CODE

Msaada kwa wenye ujuzi wa IBAN na SWIFT CODE

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… premium yao bei $ 15,000 na usheee.. nina plan ya ka banda umiza ka hizo issue nikasema nitaishia kununua Nesus panoja na Burpsuite tu.. hizo zingine nitaendelea tumia za bure maana bei zake sio za mtanzania mie
πŸ˜‚πŸ˜‚ Unaweza filisika.
Kitabu cha CEH all in one exam nilipewa contents tu kilicho baki nikaambiwa natakiwa kununua.

Oya Elimu gharama nyie
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Unaweza filisika.
Kitabu cha CEH all in one exam nilipewa contents tu kilicho baki nikaambiwa natakiwa kununua.

Oya Elimu gharama nyie
Sema ukikamata ma certification ya E-council unajiwekea mazingira ya kuwa manager au director wa kitengo.. taasisi nyingi wanaziamini maana .. na zinajulikana sanaa.. ukiwa nayo hata ma cert yao manne kitengoni wanakuona wa maama kweli kweli πŸ˜…πŸ˜…
 
Sure. Certication zenye uzito zote bei mkasi kinomaa.. na ukiwa nazo mbele unakua deal hapa bongo bado .. kama mahala wanapo hitaji watu wa field practical zaidi Offensive na elearnSecurity zina kimbiliwa sana.. ila kama wanataka maboss wa Administration utakuta wanachukia wenye E-council, Isaac, Isc.. na wengine neo kadhaa
Ofcoz ndo maana nikaitema sababu hata ningekua nayo mie sikuaga na cheti cha chuo chochote kile, I'm a dropout, so CEH yenyewe kama yenyewe isingenibeba labda kwa nje.

Lkn kali linux nzima ile nimecheza nayo hadi naiota, ni hvo tu bongo wanaajiri vyeti sio talent. Na nikisema niwe blackhat ni risking tu
 
kama una cert za kutosha kuna mahala unaingia mkuu, cv itakubeba.. ingawa tuna tabia ya kuangalia sana vyeti
 
kama una cert za kutosha kuna mahala unaingia mkuu, cv itakubeba.. ingawa tuna tabia ya kuangalia sana vyeti
Nishatoka huko, kukusanya cert sometimes unapoteza muda tu.

Nnazo kibao pamoja na za development ila bila bachelor degree ngumu sana mzee asikwambie mtu. Labda uwe freelancer tu watu wakupe kazi kutokana na projects zako,
 
af unajua Ukiwa na ile ZAP ya Owasp (hii iko free) na ukawa skilled mambo mengi unafanya hata bila burp. Sasa mie nataka nicreate hii yangu iwe beyond ZAP, shida time tu
Kidogo kidogo unapo pata mda. secret ya kuwini kwenye pen test ni mda unao tumia kuelewa mfumo .. unaweza tumia simple kabisa .. Adrian Lamo ni mtu alie ni inspire sana kipindi flani.. concept yake ya kutumia 98, notepad ilinipa hasira sana kuwa mmbunifu na kuisoma zaidi mifumo.. kwenda beyond ZAP unaweza na ukafanya bora zaidi
 
IBAN ni kwa europe hapa tanzania huwezi pewa hii. Inaapply kwa SEPA transfers. Ungetengeneza akaunti ya virtual hata ya wise ya euro ukahamishia humo then ukahamishia kwa akaunti yako
Nitajaribu hii option
 
SWIFT (eight or eleven digits) ni mandatory for any international bank transfers. It is distinctive for each bank.

Mfano SWIFT ya CRDB ni CORUTZTZ & ya NMB ni NMIBTZTZ

IBAN - Kuna nchi zinatumia IBANs hivyo lazima na Inabidi zitumike kwenye nternational bank transfers. First two letters ina-present ISO county code.

Mfano IBAN ya Brazil: BR18 0036 0305 0000 1000 9795 493C 1

Ila Tanzania hatujaanza kutumia. Pia nchi Kama US, Canada, Australia, China hazina IBANs.

Daaah sikujua hili, huwezi amini nilishaishia kumwambia mdeni wangu anifanyie order amazon ya kitu fln baada ya kushindikana kufanikisha kunitumia hela huku nilipo, na dude jenyewe hata silitumii sikuhz
IMG_20230625_225205.jpg

Hii ni akaunti yangu, na hata juzi nimepokea malipo toka portugal, inapokea malipo umoja wa ulaya nzima ili mradi iwe SEPA transfer which means inakuwa ina Euros, kama ni UK natumia ya pound ili mradi malipo yatokee UK na yawe in pounds. Lazima uzingatie hilo otherwise pesa itabounce na itarudi kwa mtumaji na inaweza chukua hata mwezi kama ni marekan natumia dollar akaunti.
Yani easy na uhakika na pesa haichukui muda kureflect masaa au siku moja tu
 
Dada mmoja alienda kwa bank yake kuulizia SwiftCode, mhudumu wa kwanza wa bank hadi muhudumu wa 3 wakawa wanamzungusha na wenyewe hawaijui SWIFT code!!!!! Baadae alinipigia kunihadithia ikabidi nimuulize how?? How hawajui au ni watoto wa field uliwauliza?
 
View attachment 2668846
Hii ni akaunti yako, na hata juzi nimepokea malipo toka portugal, inapokea malipo umoja wa ulaya nzima ili mradi iwe SEPA transfer which means inakuwa ina Euros, kama ni UK natumia ya pound ili mradi malipo yatokee UK na yawe in pounds. Lazima uzingatie hilo otherwise pesa itabounce na itarudi kwa mtumaji na inaweza chukua hata mwezi kama ni marekan natumia dollar akaunti.
Yani easy na uhakika na pesa haichukui muda kureflect masaa au siku moja tu
Daaah asante sana kwa hii elimu mkuu
 
Dada mmoja alienda kwa bank yake kuulizia SwiftCode, mhudumu wa kwanza wa bank hadi muhudumu wa 3 wakawa wanamzungusha na wenyewe hawaijui swift code!!!!! Baadae alinipigia kunihadithia ikabidi nimuulize how?? How hawajui au ni watoto wa field uliwauliza?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nae inabidi tumshangae maana swift code za mabenk zote zipo hata kwenye mitandao wala uhitaji kwenda bank.. ila hao wa bank kutokujua ni tatizo zaidi
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nae inabidi tumshangae maana swift code za mabenk zote zipo hata kwenye mitandao wala uhitaji kwenda bank.. ila hao wa bank kutokujua ni tatizo zaidi
Hapo nilijionea mtihani, mi nilimwambia unge β€œgugu” ungeipata bila kufunga safari ya bank, si unajua kimuhemuhe cha kusubiri muamala wa nje?

Hao wa benk ndio walinifanya nichanganyikiwe rafiki, au labda alimuuliza security guard πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mambo ya pesa za kigeni.. lazima upate ka mchemcheto... itakuwa alimuuliza mwana field
 
Back
Top Bottom