Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naongezea kido usaidia kufanya miamala ya kimataifaNi code zinazoitambulisha taasisi ya kifedha ulimwenguni kote
IBAN ni kifupi cha International bank Account Number, IBAN huwa ina combine namba zinazowakilisha nchi, bank husika na tarakimu zingine zinatokana na namba ya akaunti yaani namba za akaunti ya kawaida. Japo unaweza kutuma na kupokea fedha kwa account number ya kawaida lakini IBAN huwezesha mabenki kurahisisha muamala na fedha huwasili kwa haraka zaidi.Banks kubwa zote kwenye nchi mbalimbali zina accounts kwenye banks nyingine kubwa za nchi nyingine.
Sasa IBAN ni kama account number ya bank fln lkn Swiftcode ni Identity tu,
Wire transfer yyt lazima uweke hio swiftcode na IBAN, ni kama Jina la account na account number.
Sasa hapa TZ kwa wahudumu wa banks utakesha kupata hio IBAN, lkn am sure zipo sababu bila hivyo wasingekua wanaweza kufanya hizo international wire transfers
Nakumbuka mtihani wangu wa mwisho nilipewa kazi ku penetrate kwenye database flani.. na kuchukua IBAN no zote... ilinitesa sana ila nilitoboa na hatimae nikawa certified.... 😅😅😅Natumaini wote ni wazima wa afya,
Naomba kupata maeleze kuhusiana na IBAN na SWIFT CODE za bank.., nimejaribu ku-Google Nimesoma maelezo lakini kuna points sijazielewa.
Natanguliza shukran
Oracle Sql exploration tu nilivuja mijasho. Niliwaza kuingia na kibomu.Nakumbuka mtihani wangu wa mwisho nilipewa kazi ku penetrate kwenye database flani.. na kuchukua IBAN no zote... ilinitesa sana ila nilitoboa na hatimae nikawa certified.... 😅😅😅
Mtaalamu Lloyd Munroe wapiii... mwanafunzi wangu mtalakiwa Leejay49 naona una like sioni wazo lako
😅😅😅 sie pepa hata kibomu hakisaidii.. ile paper ilikuwa ni siku tatu .. unaifanya unavyojisikia mwenyeweee.. nilienda hata kwa mtabe mmoja na Msc ya Is security lakini wapi.. tumeshinda nae siku nzimaaa chaliii.. nikaona nikakomae mwenyewe hadi nilitoboaOracle Sql exploration tu nilivuja mijasho. Niliwaza kuingia na kibomu.
Paper gn hio, Offensive Sec au?😅😅😅 sie pepa hata kibomu hakisaidii.. ile paper ilikuwa ni siku tatu .. unaifanya unavyojisikia mwenyeweee.. nilienda hata kwa mtabe mmoja na Msc ya Is security lakini wapi.. tumeshinda nae siku nzimaaa chaliii.. nikaona nikakomae mwenyewe hadi nilitoba
Maswali ya Uhalisia kibomu akina maajabu.😅😅😅 sie pepa hata kibomu hakisaidii.. ile paper ilikuwa ni siku tatu .. unaifanya unavyojisikia mwenyeweee.. nilienda hata kwa mtabe mmoja na Msc ya Is security lakini wapi.. tumeshinda nae siku nzimaaa chaliii.. nikaona nikakomae mwenyewe hadi nilitoboa
Leejay49 nae anafanya Cyber?mwanafunzi wangu mtalakiwa @Leejay49 naona una like sioni wazo lako
nilipiga za elearnSecurityPaper gn hio, Offensive Sec au?
Kwani account namba za wateja ziko kwenye mfumo gani? Hazina IBAN? Experince yangu nchi nyinje ya nchi ni kuwa ukiingia kwenye account yako huwa inaanza na IBAN ndiyo inafuata namba ya accountBanks kubwa zote kwenye nchi mbalimbali zina accounts kwenye banks nyingine kubwa za nchi nyingine.
Sasa IBAN ni kama account number ya bank fln lkn Swiftcode ni Identity tu,
Wire transfer yyt lazima uweke hio swiftcode na IBAN, ni kama Jina la account na account number.
Sasa hapa TZ kwa wahudumu wa banks utakesha kupata hio IBAN, lkn am sure zipo sababu bila hivyo wasingekua wanaweza kufanya hizo international wire transfers
mwanafunzi wanguLeejay49 nae anafanya Cyber?
mie mzee wa Tindo na Snake Wire hapa nafanya nini ?
jamaa wana practical harisi wapo kama offensive kama unakalili hutoboi 😅😅😅Maswali ya Uhalisia kibomu akina maajabu.
Hio format inakua na namba fln hapo zinazoanza na ndo inafuata acc namba yako, hizo characters ndo nilipata challenge kuzipataKwani account namba za wateja ziko kwenye mfumo gani? Hazina IBAN? Experince yangu nchi nyinje ya nchi ni kuwa ukiingia kwenye account yako huwa inaanza na IBAN ndiyo inafuata namba ya account
😅😅😅 nimecheka hii snake wire, kuna mahala nilipata kazi nisiyo na uzoefu nikamcheki jamaa ananielekeza niwe na snake wire.. na mie nikaanza muelekeza mtu.. nilichokuwa nawaza tofauti..mie mzee wa Tindo na Snake Wire hapa nafanya nini ?
Acha bhasi.mie mzee wa Tindo na Snake Wire hapa nafanya nini ?
Nikadhan CEH ya Offensive Sec, ile natafutaga mtanzania alioitoboa, najua wapo wachache lknnilipiga za elearnSecurity