Msaada kwenye hili maana nishafika hospitali mara 2 lakini suluhisho bado

Nsennah

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2021
Posts
1,947
Reaction score
1,554
Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia ni scabies nikapewa dawa lakini bado sioni mabadiliko, vinapona hapa na kuibuka kwingine. Ni mkononi na usoni tu.

20231205_171345.jpg
 
View attachment 2834086
Nenda kapime damu itaonyesha unayo maradhi gani mwilini mwako kapime damu Full Blood Picture Test kisha uje hapa utuambie Majibu ya damu wamekwambiaje huko hospitali? Na je wewe ni Mwanamke au mwanamume?hujatuambia
 
Back
Top Bottom