Msaada kwenye kesi ya jinai

Msaada kwenye kesi ya jinai

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Nijuavyo mimi ni kwamba kesi ya jinai inakuwa na mshatakiwa, jamhuri na mlalamikaji.

Hivi inapotokea kwa mfano maelezo ya hati ya mashitaka yanaonesha kuwa labda pesa iliyoibwa ni ya taasisi fulani lakini kwenye particulars za mlalamikaji linaonekana jina la mtu na hata kwenye orodha ya mashahidi hakuna hata cheo mkuu wa taasisi hiyo.

1. Je, ni sahihi hati ya mashitaka kutoonesha afisa wa taasisi hiyo kama mlalamikaji na badala yake wameweka jina binafsi?

2. Je, kwa afisa wa taasisi kutooneka popote kwenye kesi haiwezi kumaanisha kuwa taasisi haijawahi kutoa malalamiko na uenda haijui kama kuna kesi imefunguliwa na watu wengine?

3. Na katika orodha ya mashahidi hakuna cheo cha afisa yoyote, swala hili laweza kumsaidiaje mshitakiwa?

4. Nini maoni yenu wanajamvi?
 
Mlalamikaji wa kesi za jinai ni Republic kwani sheria zote kwenye jinai zinasimamiwa na Republic hivyo ukivunja inasimama.Hivyo kwenye hati ya mashitaka Jamhuri itakulalamikia wewe uliyeiba pesa za umma au za Mtu Fulani ikumbukwe kuwa kampuni ni Mtu kisheria ila haiwezi kusimama yenyewe mahakamani hivyo kuna muwakilishi wa kampuni hiyo atahusika kusimama kwa niaba ya kampuni. .Wakati wa kutoa ushaidi mbele ya mahakama inabidi shaidi kutoka taasisi/kampuni husika aseme yeye ni mkurugenzi au afisa usalama wa benki ameajiriwa lini majukumu yake ni yapi aliona/alisikia/alinusa alionja/alinusa au aligundua nini kulingana na taaluma yake na wajibu wake katika benki ambapo yeye aliona ni jinai. Hivyo cheo cha afisa wa benki/taasisi au kampuni kitaonekana kwenye ushaidi wakati kesi IPO kwenye kusikilizwa.
 
Nijuavyo mimi ni kwamba kesi ya jinai inakuwa na mshatakiwa, jamhuri na mlalamikaji.

Hivi inapotokea kwa mfano maelezo ya hati ya mashitaka yanaonesha kuwa labda pesa iliyoibwa ni ya taasisi fulani lakini kwenye particulars za mlalamikaji linaonekana jina la mtu na hata kwenye orodha ya mashahidi hakuna hata cheo mkuu wa taasisi hiyo.

1. Je, ni sahihi hati ya mashitaka kutoonesha afisa wa taasisi hiyo kama mlalamikaji na badala yake wameweka jina binafsi?

2. Je, kwa afisa wa taasisi kutooneka popote kwenye kesi haiwezi kumaanisha kuwa taasisi haijawahi kutoa malalamiko na uenda haijui kama kuna kesi imefunguliwa na watu wengine?

3. Na katika orodha ya mashahidi hakuna cheo cha afisa yoyote, swala hili laweza kumsaidiaje mshitakiwa?

4. Nini maoni yenu wanajamvi?

Wewe Abagabo s/o Expert member Jf Unashitakiwa kuwa mnamo tarehe 24.06.2019 majira ya saa 20:00hrs huko Tabata segerea uliiba pesa Tsh milioni Themanini Mali ya xxxxx benki.Ulifanya hivyo huku ukijua ni kosa kisheria.

Hapo tunategemea Ushaidi muhimu kutoka xxxxx bank anaweza kuwa meneja wa tawi au Teller. inategemea na upelelezi wa kule polisi utakavyokuwa.
 
kwa makosa ya jinai kuna pande mbili tu sio tatu kama ulivyosema ...kuna jamhuri ambayo ndio inasimama kama mshitaki na upande wa pili ni mshitakiwa.
Nijuavyo mimi ni kwamba kesi ya jinai inakuwa na mshatakiwa, jamhuri na mlalamikaji.

Hivi inapotokea kwa mfano maelezo ya hati ya mashitaka yanaonesha kuwa labda pesa iliyoibwa ni ya taasisi fulani lakini kwenye particulars za mlalamikaji linaonekana jina la mtu na hata kwenye orodha ya mashahidi hakuna hata cheo mkuu wa taasisi hiyo.

1. Je, ni sahihi hati ya mashitaka kutoonesha afisa wa taasisi hiyo kama mlalamikaji na badala yake wameweka jina binafsi?

2. Je, kwa afisa wa taasisi kutooneka popote kwenye kesi haiwezi kumaanisha kuwa taasisi haijawahi kutoa malalamiko na uenda haijui kama kuna kesi imefunguliwa na watu wengine?

3. Na katika orodha ya mashahidi hakuna cheo cha afisa yoyote, swala hili laweza kumsaidiaje mshitakiwa?

4. Nini maoni yenu wanajamvi?
 
Wewe Abagabo s/o Expert member Jf Unashitakiwa kuwa mnamo tarehe 24.06.2019 majira ya saa 20:00hrs huko Tabata segerea uliiba pesa Tsh milioni Themanini Mali ya xxxxx benki.Ulifanya hivyo huku ukijua ni kosa kisheria.

Hapo tunategemea Ushaidi muhimu kutoka xxxxx bank anaweza kuwa meneja wa tawi au Teller. inategemea na upelelezi wa kule polisi utakavyokuwa.
Je kama upelelezi wa polisi utasema mtuhumiwa hana kosa, Je mwajiri wake anaweza akakomaa na hiyo jinai mahakamani?
 
Jinai zote mlalamikaji ni Jamhuri yaani R. v.Agaba.Maana yake ili jamuhuri ikushitaki lazima ijiridhishe kwenye upelelezi wake kama kesi ya jinai inayoanzia Polisi basi polisi na ofisi ya mashitaka imeona ushaidi unatosha itakushitaki hilo si swala la mlalamikaji unayemsema wewe kwani Huyo kule mahakamani anaitwa Shaidi tu. Kumbuka maelezo atakayotoa Shaidi huyo anayeitwa mlalamikaji kwenye kituo cha polisi kama yatakuwa hayajengi kosa (sifa za kosa) na hakuna ushaidi mwingine wa kusupoti kosa kuonekana kutendeka basi Polisi watafunga jalada lao na kumuachia huru mtuhumiwa kwa kushirikishana mawazo na wanasheria idara ya mashitaka ya Jinai.Asante
 
Mwajiri wangu alinishitaki Polisi kwa kosa la wizi, lkn Polisi walipofanya uchunguzi waliona sina kosa, wakaandika barua kwa mwajiri wangu ya kwamba sina kosa ktk kesi ile. Baada ya hapo mwajiri wangu alinifukuza kazi kwa kosa hilo la wizi. Je hii ni sahihi?
 
Jinai zote mlalamikaji ni Jamhuri yaani R. v.Agaba.Maana yake ili jamuhuri ikushitaki lazima ijiridhishe kwenye upelelezi wake kama kesi ya jinai inayoanzia Polisi basi polisi na ofisi ya mashitaka imeona ushaidi unatosha itakushitaki hilo si swala la mlalamikaji unayemsema wewe kwani Huyo kule mahakamani anaitwa Shaidi tu. Kumbuka maelezo atakayotoa Shaidi huyo anayeitwa mlalamikaji kwenye kituo cha polisi kama yatakuwa hayajengi kosa (sifa za kosa) na hakuna ushaidi mwingine wa kusupoti kosa kuonekana kutendeka basi Polisi watafunga jalada lao na kumuachia huru mtuhumiwa kwa kushirikishana mawazo na wanasheria idara ya mashitaka ya Jinai.Asante
Mkuu salamu zako.
Vipi kuhusu kesi ilioanzia polisi na shahid akawa ni polis afu kwenye hearing PP akamkataa shahid ambae ni polisi.
Upande wa utetezi wanaweza kuitumia kama defense?
 
Back
Top Bottom