abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
Nijuavyo mimi ni kwamba kesi ya jinai inakuwa na mshatakiwa, jamhuri na mlalamikaji.
Hivi inapotokea kwa mfano maelezo ya hati ya mashitaka yanaonesha kuwa labda pesa iliyoibwa ni ya taasisi fulani lakini kwenye particulars za mlalamikaji linaonekana jina la mtu na hata kwenye orodha ya mashahidi hakuna hata cheo mkuu wa taasisi hiyo.
1. Je, ni sahihi hati ya mashitaka kutoonesha afisa wa taasisi hiyo kama mlalamikaji na badala yake wameweka jina binafsi?
2. Je, kwa afisa wa taasisi kutooneka popote kwenye kesi haiwezi kumaanisha kuwa taasisi haijawahi kutoa malalamiko na uenda haijui kama kuna kesi imefunguliwa na watu wengine?
3. Na katika orodha ya mashahidi hakuna cheo cha afisa yoyote, swala hili laweza kumsaidiaje mshitakiwa?
4. Nini maoni yenu wanajamvi?