Msaada kwenye tuta: Kubeba box ndio kazi gani?

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Habari zenu wa kuu.

Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani.

Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.
 
Hiyo ni lugha inayotumika kuelezea kazi anayofanya mtu akiwa ulaya au America. Hasa kazi za nguvu zisizohitaji qualifications. Nadhani umenielewa.
 
Habari zenu wa kuu.
Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani.
Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.
Mkuu hata dar kazi rahisi ni ulinzi
Au kufagia barabara au kazi ngumu wanyasa ndio hupewa sana

Kwa hiyo nikueleze kadri mji unavyosonga mbele kazi baadhi zinadharaulika

Hata South tu wazimbabwe ni kama wanyasa
 
Habari zenu wa kuu.

Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani.

Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.

images
 
Kazi za shambani zinazohusisha kupakia mazao kwenye maboksi kabla ya kusambazwa kwenye maduka ya jumla. Kazi hizi za mashambani zimetapakaa nchi zote za ulaya na marekani na ni rahisi sana kuajiriwa kwa muda huko na kulipwa iwe kwa masaa au kwa kufikia malengo. Wengi waliokosa ajira au wasio na ajira rasmi ndio kazi kimbilio kwa ajili ya kujikimu, iwe kwa mwenye PHD au cheti cha ngumbaru.... Kazi hii haichagui haibagui!.
 
Ni kazi za hovyo hovyo, haziitaji elimu , kuonesha wazungu, kupakua mizigo ulaya, kufagia, kuuza bar, kupanga mizigo supermarket, kulisha mifugo.
Kiulaya ulaya ni pesa ndogo Ila kibongo ni kitita
 
[emoji12][emoji12]
Kama mbeba box anaweka pembeni mpaka Sh3m kwa mwezi akiba sio mbaya eti, halafu baada ya miaka mitano ana 180m acha tuendelee na kubeba box tu
fainali uzeeni na zingine wale wajukuu
 
Back
Top Bottom