Msaada kwenye tuta: Kubeba box ndio kazi gani?

Msaada kwenye tuta: Kubeba box ndio kazi gani?

Habari zenu wa kuu.

Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani.

Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.
Kazi yeyote ughaibuni ambayo siyo rasmi.( Day worker)
(.cheap labourer)
Mfano.
Kufagia.
Kufanya kazi za shamba.
Garden.
Kubeba mizigo.
Kukata miti..
 
mwenye ABC za kufika mbele na kuanza kubeba box aweke hapa tujue tunaanzia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Biashara ya utumwa ambayo inayoendelea huko ughaibuni..wameibadilisha jina kidogo tu
 
Back
Top Bottom