Msaada kwenye tuta: Namna ya kufanya malipo online kwa ajili ya kulipa tutorials

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kichwa Cha habari wakuu kinajieleza nataka kununua tutorials kwa ajili ya kujifunza zaidi
Ukifika hatua hii unafanya JE kama mfano WA kwenye hii picha hapa.
 

Attachments

  • IMG_20240628_141706_943.jpg
    3.4 MB · Views: 5
Kama utachagua MasterCard, utaweza namba ya kadi; na kuruhusu malipo.
Hakikisha Kadi ina salio linalotosha
 
Kama utachagua MasterCard, utaweza namba ya kadi; na kuruhusu malipo.
Hakikisha Kadi ina salio linalotosha
Shukurani sana mkuu ubarikiwe hakika umenitoa tongotongošŸ¤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…