mtabekilasekta
Member
- Jun 5, 2024
- 42
- 46
Hapo changamoto inawezekana kuwaWakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found!! TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO? NAOMBA KUWASILISHA
Kwa hyo hapo naweza kufix mwenyewe au had fundi?Hapo changamoto inawezekana kuwa
Kwenye hard disk ime corrupt
Au bios imekua miss configuration pia
Inawezekana window ime corrupt
Unaweza solve mwenyewe au kupeleka kwa fundi kwa ufupi tuKwa hyo hapo naweza kufix mwenyewe au had fundi?