Msaada: Laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found

Msaada: Laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found

Joined
Jun 5, 2024
Posts
42
Reaction score
46
Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found!

TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO?

NAOMBA KUWASILISHA
 
Duhhh...
Ebu ngoja sie tulio kulia miaka ya kuandika baria na s.l.p tukae pembeni
 
Toa hard disk (kama unaweza) puliiza kisha upukute sehemu inayowekwa

Toa flash / cd / router kama vipo

weka video / picha kwa msaada zaidi

Bad news (siombei iwe hivyo) >> Yawezekana hard disk imekufa, fail zote zimeenda
 
Kwa hyo hapo naweza kufix mwenyewe au had fundi?
Unaweza solve mwenyewe au kupeleka kwa fundi kwa ufupi tu

Kwanza shida ya operating system not found au missing nk uwa bios iliyopo kwenye kompyuta yako imeshindwa kufanya mawasiliano na ku locate bootable ya Os kwenye hard disk yako kwa ajili ya kuwaka hivyo inashindwa ku boot.

Unafanyaje kuondoa
🧿 Kwanza angalia boot order ingia kwenye bios settings unaweza bonyeza F1 au F2 inategemea na PC yako kisha kwenye boot options weka hard disk as primary selector Yani chagua HDD yako kuwa 1 kwenye ku boot.

🧿 Pili chomoa hard disk yako kwenye laptop au Desktop yako kisha irudishe chomoa na Ram kw dakik 1 kisha nirudishe

🧿 Inawezekana pia hard disks imekufa kabisa ivyo unahitaji kubadilisha

🧿 Windows pia inawezekana ime corrupt unachohitaji ni kupiga window nyingine hakikisha window yako ni original

🧿 Pia unaweza kujaribu kuwasha kwa kuboot Yani bonyeza F9 kisha chagua hard disk PC yako inawaka


Ikizingua zaidi peleka kwa fundi 👋
Teknolojia ni Yetu sote 😋
 
Yaweza pia kua windows imeliwa na Virus, chukua hiyo hard disk jaribu kuwekea hata encloure uifungue kwenye PC nyingine uone, ikifanya kazi, toa vya muhimu i format, rudisha pig window upya,
Ispo soma nunua hard disk mpya
 
Back
Top Bottom