ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Confusion niki google. Wengine tarehe 28 June, wengine tarehe 29 June.we unaonaje kwani
Wewe ndio wa kuchora,Baraza Kuu la Waislamu Tanzani,ilishatangaza Eid ni Tarehe 29 June 2023.Wewe itkuwa ni wa mchongo,hujijui hujitambui.Hizi dini zingine uganga wa kienyeji mtupu.
Yani Mungu anashindwa kwenda na wakati kutupa tarehe maalum ya sherehe ya dini yake.
Mpaka hapo inabidi ustuke tu kuwa huyu Mungu ni wa kuchora tu.
Leo ubwabwa na pilau, biriani na tende keshoHabarini wana JF,
Hivi leo Alhamisi Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi, au bado ni Eid Al Hajj?