Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Zaidi ya location challenge nyingine Ni zipi ndugu?iko poa sana cha msing ni location na kuwa imara kwan biashara ina challenge nying unapoianzisha! wishng u ol da best mkuu
Zaidi ya location challenge nyingine Ni zipi ndugu?
ukitk tu line nicheki ninazo zote za uwakala ....kila lenye heli
tgo pesa 300k
airtel 150k
mpesa 180k
Faida inapatikana kwa kuweka au kutoa miamala mfano akija mtu akaweka tigo au kutoa 20,000 uanapata camission ya shilingi 200 hivi. Kadri unapapofanya miamala zaidi unapata cammision nyingi.
Cammision hii hujumlishwa na hulipwa kila mwisho wa mwezi.
Namim nataka ya tigo na m-pesa
Namim nataka ya tigo na m-pesa
Zaidi ya location challenge nyingine Ni zipi ndugu?